Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Naona unatangaza kijanja blog yako ee

Hizi picha nilizitoa kwa team zari sio huko blogin wala sina mzuka wa kutembelea blog hazina mpya,instagram habar ya mujini
umezipata kutoka.bukoba wadau
 
Hapo mwishoni mwa uzi wako ulitakiwa useme:............ ''Na paparazi wako Numbisa aliepo Uganda''
 
Vp mondi nae keshawasili? maana UG wanamtamani kweli sijui hali itakuaje mbele ya ndg wa Ivan
Kwani kakosa nini hadi unasema itakuwaj kuhusu ndugu wa Ivan....kwani yeye ndio amemuua.

Diamond yupo South kabaki na wanae anawalea anasubili hadi Zari aludi
 
heshimu maoni yake basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…