Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

18699960_764372357056202_1775177272604109756_n.jpg
Doh pole Zari!! na wanao, hadi amepungua huyu dada..
 
Naona unatangaza kijanja blog yako ee

Hizi picha nilizitoa kwa team zari sio huko blogin wala sina mzuka wa kutembelea blog hazina mpya,instagram habar ya mujini
IMG_20170529_153431.jpg
IMG_20170529_153407.jpg

umezipata kutoka.bukoba wadau
 
Hapo mwishoni mwa uzi wako ulitakiwa useme:............ ''Na paparazi wako Numbisa aliepo Uganda''
 
Vp mondi nae keshawasili? maana UG wanamtamani kweli sijui hali itakuaje mbele ya ndg wa Ivan
Kwani kakosa nini hadi unasema itakuwaj kuhusu ndugu wa Ivan....kwani yeye ndio amemuua.

Diamond yupo South kabaki na wanae anawalea anasubili hadi Zari aludi
 
Acha uswahili.watu wamezaa watoto 3.
Unafikiri asipoenda watoto wake watamfikiriaje mama yao?
Kuhusu vikao. Vya miradhi lazima zari awepo.kuna mali za watoto wake lazma ajue watoto wamepata nini na yeye azisimamie.
Unafikiri zari anaweza kuwa dhulumu wanae?
heshimu maoni yake basi
 
Back
Top Bottom