Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Yake...huyo dada aliyeongozana na zari wamevaa wote magauni yanafanana ni nan
Doh pole Zari!! na wanao, hadi amepungua huyu dada..
Dada ake Zahrahuyo dada aliyeongozana na zari wamevaa wote magauni yanafanana ni nan
Na Nasikia kale ka Baunsa kake kanatoka Nduki kama Hamorapa Mara 4.Chibu ongeza ulinzi ukienda kuzika. Vinginevyo utapopolewa na mawe ka popo huko maZishini Uganda
Kwani kakosa nini hadi unasema itakuwaj kuhusu ndugu wa Ivan....kwani yeye ndio amemuua.Vp mondi nae keshawasili? maana UG wanamtamani kweli sijui hali itakuaje mbele ya ndg wa Ivan
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kilichobaki, wakijashtuka madini yameisha Bulyankulu!
heshimu maoni yake basiAcha uswahili.watu wamezaa watoto 3.
Unafikiri asipoenda watoto wake watamfikiriaje mama yao?
Kuhusu vikao. Vya miradhi lazima zari awepo.kuna mali za watoto wake lazma ajue watoto wamepata nini na yeye azisimamie.
Unafikiri zari anaweza kuwa dhulumu wanae?
Mawazo gani?heshimu maoni yake basi
hayo hayo ganiMawazo gani?
Rudia kusoma alivyoandika na nilivyomjibu.hayo hayo gani
Ulipotelea wapi mrembo?hili neno hili!!!
Taifa Gani?Sababu tunamjali zari Wifi\shem wa Taifa