cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Wema tatizo kichwani ni empty set, tofauti na zari ana ka exposure flani na anajua ku grab different opportunitiesSana. Ni mwanamke mwerevu sana. Kachukua umaarufu kautendea haki,anapata matangazo. Kwa sasa anajulikana kabisa. Sio kama w.sepeng,umaarufu wanapiga nao picha