Zari nakuomba umsaidie Wema Sepetu kulipia umeme, TANESCO wanamuadhiri

Zari nakuomba umsaidie Wema Sepetu kulipia umeme, TANESCO wanamuadhiri

Hela aliyolipwa kuwatukana watu wenye umri sawa na marehemu baba yake kipindi cha kampeni zimeshindwa kumsaidia kulipa umeme?
Laana ya lowasa imeshaanza kumtafuna,lowasa ana laana Kali sana,inabidi akamwombe radhi
 
Bongo 5 wameweka kaclip cha idris Anacho ongea sasa..... Yaan Hawa Wasanii ni vilaza sijawahi ona
 

Attachments

  • 1449658918612.jpg
    1449658918612.jpg
    43.1 KB · Views: 880
  • 1449658940163.jpg
    1449658940163.jpg
    54.5 KB · Views: 859
Wema siku amekamatwa kwa kuiba umeme akakumbuka kuna Mkuu wa Wilaya Makonda akaanza kuposti picha zake juu ya usafi.

Na zingine za jana pia, kaanza kutafuta wapi ataombea msaada wa wizi wake kwa kujigonga kwa Makonda maana anamtagi hata mara 10 ili aone kamposti.

Juzi hapa jana siku zile wala hakuwa na taimu naye sasa hivi anatafuta kuofa lake asamehewe. Kweli mazoea mabaya. Kumsaka Makonda sasa, hakuna kusamehewa kalipe pesa ulizokwepa. kwi kwi kwiiiiii
 
Hatari,sasa makonda ataingilia upepo wa john pombe magufuli? Atafagiwa kama vumbi
 
Back
Top Bottom