Zari nakuomba umsaidie Wema Sepetu kulipia umeme, TANESCO wanamuadhiri

Zari nakuomba umsaidie Wema Sepetu kulipia umeme, TANESCO wanamuadhiri

Ishakuwa ushuzi,sio my shoes

We unaonaje? si uharo tu ule. Mbona wakati vishoka wanafanya yao hakutuonyesha ila issue ya maigizo yuko fasta kutuonyesha.

Wasione kina Kim wana vipindi vyao wenzao wanaishi hivyo ndio maisha yao. Sio wao wanatuletea maigizo kumbe nyuma ya pazia ushuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom