Wema siku amekamatwa kwa kuiba umeme akakumbuka kuna Mkuu wa Wilaya Makonda akaanza kuposti picha zake juu ya usafi.
Na zingine za jana pia, kaanza kutafuta wapi ataombea msaada wa wizi wake kwa kujigonga kwa Makonda maana anamtagi hata mara 10 ili aone kamposti.
Juzi hapa jana siku zile wala hakuwa na taimu naye sasa hivi anatafuta kuofa lake asamehewe. Kweli mazoea mabaya. Kumsaka Makonda sasa, hakuna kusamehewa kalipe pesa ulizokwepa. kwi kwi kwiiiiii