adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Dec 11, 2015 #41 iparamasa said: Ishakuwa ushuzi,sio my shoes Click to expand... We unaonaje? si uharo tu ule. Mbona wakati vishoka wanafanya yao hakutuonyesha ila issue ya maigizo yuko fasta kutuonyesha. Wasione kina Kim wana vipindi vyao wenzao wanaishi hivyo ndio maisha yao. Sio wao wanatuletea maigizo kumbe nyuma ya pazia ushuzi mtupu.
iparamasa said: Ishakuwa ushuzi,sio my shoes Click to expand... We unaonaje? si uharo tu ule. Mbona wakati vishoka wanafanya yao hakutuonyesha ila issue ya maigizo yuko fasta kutuonyesha. Wasione kina Kim wana vipindi vyao wenzao wanaishi hivyo ndio maisha yao. Sio wao wanatuletea maigizo kumbe nyuma ya pazia ushuzi mtupu.
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Dec 11, 2015 #42 Jimena said: Utasubiri sanaaa Click to expand... Alichokifanya sasa yetu spetunga ni wizi. Kwahiyo kauli yako inaleta shida ya uelewa wako dada yangu kiazi kitamu.
Jimena said: Utasubiri sanaaa Click to expand... Alichokifanya sasa yetu spetunga ni wizi. Kwahiyo kauli yako inaleta shida ya uelewa wako dada yangu kiazi kitamu.
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Dec 11, 2015 #43 Jimena nilikuwa namjibu miller, sory nimekukoti kwa makosa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 Dec 11, 2015 #44 kilimbamula said: Jimena nilikuwa namjibu miller, sory nimekukoti kwa makosa. Click to expand... Sawa mkuu wala hamna shida. Nimekuelewa barabara
kilimbamula said: Jimena nilikuwa namjibu miller, sory nimekukoti kwa makosa. Click to expand... Sawa mkuu wala hamna shida. Nimekuelewa barabara
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Dec 11, 2015 #45 Zari amsaidie mwenzake huo ndo uungwana wa kiafrika.