herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Imani yangu wale wote wanaomuita Diamond domo ndio wale walokuwa wakisema kaoa bibi leo wameachana wanamuona zari ni mzuri kuliko alivyokuwaHii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]...
Btw wacha tusubiri baby shower ya new upcoming mother in town , maana sio kwa mbwe mbwe hizo instagram , utadhan domo ndo mtoto wake wa kwanza, mxieew
View attachment 1183956View attachment 1183957
Wabongo tuache unafki acha watu waishi maisha yao nasi tuishi maisha yetu