Zari new looks

Zari new looks

Hii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]...
Btw wacha tusubiri baby shower ya new upcoming mother in town , maana sio kwa mbwe mbwe hizo instagram , utadhan domo ndo mtoto wake wa kwanza, mxieew
View attachment 1183956View attachment 1183957
Imani yangu wale wote wanaomuita Diamond domo ndio wale walokuwa wakisema kaoa bibi leo wameachana wanamuona zari ni mzuri kuliko alivyokuwa
Wabongo tuache unafki acha watu waishi maisha yao nasi tuishi maisha yetu
 
Hii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]...

Btw wacha tusubiri baby shower ya new upcoming mother in town , maana sio kwa mbwe mbwe hizo instagram , utadhan domo ndo mtoto wake wa kwanza, mxieew

View attachment 1183956View attachment 1183957
Keshazeeka huyu hana chake.
Anatumia nguvu nyingi kushindana na damu changa.
Mwambie atulie ili apate heshima yake
 
zari alitaka amfunike Tanasha maana same day kaachia baby shower nae same day kaachia picha za kupendeza kiukweli Zari umri umeenda kwa Diamond amuachie Tanasha ndio umri wake
 
Mmh!!! Haya mengine sasa mnamuonea mama wa watu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Zari alienda kwenye sherehe ya mdogo wake nadhani ni kama tunavyofanya send off huku kwetu sasa hayo ya baby shower aliyajua wapi na ninavyojua mimi sherehe kama sendoff huwa zina maandalizi ya muda mrefu

Wabongo utawaweza basi
 
Baby shower tarehe 22 shosti. Jirani akipika pilau kisa nawe umepika usinune maana ladha huwa tofauti,kuna aliyepika bichi au boko.

Keshawaachia domo wenu na wa umri wake so kazaneni kumuombea kashata ajifungue salama badala ya kuumizwa na maisha ya zari
zari alitaka amfunike Tanasha maana same day kaachia baby shower nae same day kaachia picha za kupendeza kiukweli Zari umri umeenda kwa Diamond amuachie Tanasha ndio umri wake
 
Damu changa hamna chenu anzia mkutano wa SADC hadi kwenye mapenzi mnasikitisha acheni bibi awafundishe mambo
Keshazeeka huyu hana chake.
Anatumia nguvu nyingi kushindana na damu changa.
Mwambie atulie ili apate heshima yake
 
Zarinah Hassan born 23 September 1978, commonly known as Zari Hassan, is a Ugandan socialite, musician andbusinesswoman, who resides in South Africa, where she runs a chain of schools and student hostels and other businesses.

Hivi huyu mama ana miaka mingapi?
 
Tanasha ni mwanae wa kwanza. Mtu kama sio mama huwezi elewa kipindi inakuwaje unapokuwa na ujauzito wa kwanza. Mimi kama mama namuelewa Tanasha.
Nani kakwambia ni ujauzito wake wa kwanza?
 
Back
Top Bottom