Tetesi: Zari ni Mjamzito tena!!!

Kama hukupata nafasi ya kufurahia maisha aka|kula bata ujanani na mwanao akaja kuleta 'good life' ukiwa umechoka unataka kusema hata maji ya chupa utayakataa?
Well said Usedcountrynewpipo
Wacha mama 'ale ujana'. Duniani ukishaondoka, hakunaga kurudi.
 
Hivi seriously mamake domo kaafiki domo atoke na mmama wenye watoto wa3. Hivi katika maisha ya kawaida inaingia akilini?
Au kuna kitu nyuma ya pazia maana naona WCB ni full midada iliyotembea kilometres za kutosha.
Ninavyosikia mama'ke hajaafiki na ndio maana kunafigisu figisu za Mama DIAMOND kumtaka amuache Zari ili DIAMOND akuoe wewe binti bado m'bichi kabisa hata mtoto hujazaa.
 

Maneno kUNTU mkuu umemaliza sina swali!!
 
Umelonga,kama ujana alisha utumia vya kutosha na kama alisha kuwa na mahusiano na Dj Jerry Kotto fika atakuwa ana yajua maisha ya ujana,mimi nadhani angetulia tu na kujistahi kwa age aliyo nayo sioni kama ni busara hata kwenda kwenye hizo show,pengine angepata ushauri wa kina mama watu wazima walio karibu naye kama kina Asha Baraka,maana bibiye amezibuka.
 
Nasikia mama anapigwa mbupu na mcheza show wa diamond...shuguli ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…