Tetesi: Zari ni Mjamzito tena!!!

Kumbuka siyo vizuri kuwawema vibaya wazazi hata kama siyo wako. Wenzako wamechangia kwa hekima wakionyesha hisia kwa kutumia lugha ya staha.

Tuendelee kuchangia lakini tulinde heshima za wazazi wetu. Ni ushauri tu.
Kwani umeona nini...au umeelewaje?nini cha ajabu duniani kama ni kweli kinafanyika?Sihitaji ushauri wako
 
akizaa huyo wa 2 namshauri daimond atafute mchepuko azae nae pia ili abalance watoto zalia awe na watano na yy awe na watano maana akiendelea kumzalisha atapiga chini mapema, ha ha ha ha ha ha ha ha jokes
 
Hv kwanini tunadiscuss mambo yasiotuhusu? Huwa nachukia sana. Siku diamond akianguka mtaanz kulialia hapa kujifanya mna mapenzi sana Tujifunze kuheshimu na kuwapenda wenzetu
 
Lile domo la tifa lilivyo kubwa vile na kulegea ka la babake limewanyamazsha wengi..Oohh diamond hazai.Hana uwezo wa kumpa mimba...tunataka dna"huu wimbo sijui uliishia wapi?
Kadri mtoto anavyokua anawaumbua mashangingi wanabaki roho zinauma.
Ulianza vibaya ila hongera umemalizia vizuri
 
What's your problem then!!bora huyu anaezaa kuliko hao dadazako wanaoshusha engine kila mwezi !
 
Rumours have been going on
about this since a few months after
Tiffah was born.it is possible
since she is married and in a good
position to be having another
 
Rumours have been going on
about this since a few months after
Tiffah was born.it is possible
since she is married and in a good
position to be having another
yes its possible
 
Nitangulie kuomba radhi,hivi huyo Zari ni Mwanamke au Mwanaume? kumbe nini basi cha kushangaza mwanamke awapo mjamzito hilo nalo ni la kushikia bango kweli?!!!!
 
Kumbuka siyo vizuri kuwawema vibaya wazazi hata kama siyo wako. Wenzako wamechangia kwa hekima wakionyesha hisia kwa kutumia lugha ya staha.

Tuendelee kuchangia lakini tulinde heshima za wazazi wetu. Ni ushauri tu.
Tunatumia majina na avatar za bandia lakini tukumbuke matusi tunayo watukana wazazi wetu yanakuwa halisi.
 

Mama Diamond sidhani kama ni mkubwa kihivyo, ila sura yake naona ndio kidogo ina utata. Kwani Diamond si ndio mwanae wa kwanza au? Huyu mama kafika 50 kweli?? shida kakauka sana ndio maana anaonekana mzee, kama Mwanae tu, si mnamuona Diamond hajafika 30 na pesa alizonazo lakini utadhani yuko late 30s, kuna watu wana miili haina shukrani.
 
We huyo mama ni mtu mzima sana Esma si ndo 1st born na ana kitu ka 33.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…