Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwani umeona nini...au umeelewaje?nini cha ajabu duniani kama ni kweli kinafanyika?Sihitaji ushauri wakoKumbuka siyo vizuri kuwawema vibaya wazazi hata kama siyo wako. Wenzako wamechangia kwa hekima wakionyesha hisia kwa kutumia lugha ya staha.
Tuendelee kuchangia lakini tulinde heshima za wazazi wetu. Ni ushauri tu.
