Zari punguza "kimuhemuhe"

Zari punguza "kimuhemuhe"

No way. Zari huwa hajui kuficha mahusiano yake cheki list ya wababa wote aliotoka nao ipo mtandaoni.

Kwa zile show off alizokua anaonyesha akiwa na dai. Conclusion(kwa mujibu wa BAK)alikua bado anampenda Ivan hivyo akawa anamrusha roho.
Bado yuko busy kumuumiza DP kwa kuonyesha yuko na njemba mwingine aliyeamua kuficha sura yake. Kama ameingia kwenye uhusiano mpya ili kumkomoa kwa namna moja au nyingine DP na kuingia kwenye ndoa haraka haraka ili yeye awe mshindi wa kuingia kwenye ndoa kabla ya DP basi inaweza kabisa kula kwake.

Vitendo vyake vingi vinaonyesha bado anampenda DP.
Anataka kushindana na mswahili wa tandale,kashindwa Sepenga.
 
Bado yuko busy kumuumiza DP kwa kuonyesha yuko na njemba mwingine aliyeamua kuficha sura yake. Kama ameingia kwenye uhusiano mpya ili kumkomoa kwa namna moja au nyingine DP na kuingia kwenye ndoa haraka haraka ili yeye awe mshindi wa kuingia kwenye ndoa kabla ya DP basi inaweza kabisa kula kwake.

Vitendo vyake vingi vinaonyesha bado anampenda DP.
Angrmkomesha kwa kuonyesha ndoa kabisa sio hivo anavofanya
 
Bado yuko busy kumuumiza DP kwa kuonyesha yuko na njemba mwingine aliyeamua kuficha sura yake. Kama ameingia kwenye uhusiano mpya ili kumkomoa kwa namna moja au nyingine DP na kuingia kwenye ndoa haraka haraka ili yeye awe mshindi wa kuingia kwenye ndoa kabla ya DP basi inaweza kabisa kula kwake.

Vitendo vyake vingi vinaonyesha bado anampenda DP.
So DP akiomba mechi ya kirafiki kuna uwezekano atapewa ?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Zari taratibu na hiyo kiu yako ya ndoa, bwana atapepea huyo akuachie jina tu ubaki Mrs hewa, haujifunzi tu? Kwa Diamond hivo hivo Mrs Dee Mrs Dee ukanunua na lile sijui joho sijui gauni nyuma limeandikwa Mrs Dee mara kikatokea kibinti kikapewa mimba na jina la Dee kikampa mtoto, Boss Lady ukabakiziwa Joho tu, haya ushampata mpya tayari ushaanza mbwembwe za Mrs kwanini usitulie hadi mambo yakae sawa, sidhani kama kuna mwanaume anaependa hiyo tabia asee nnavojua ukijionesha una kiu iliyopitiliza hukawii kuachwa kwenye mataa, labda kwakua we bosslady ila sie kina mwajuma ndala ndefu wataishia kutimka mbio tu.

Kama ulivofanya mchumba awe siri, hebu hiyo ndoa inyamazie kwanza hata uwe engaged unajionesha kuitaka sana ni kama vile unataka ndoa ili ukomeshe watu, itakushinda kuihudumia bureeee kisa unataka ukomesheee.... Tulia bwana kwa diamond ulitangaza 2018 it gonna be million dollars typa shit, jini mkata kamba akapita kabla hata hujavalishwa pete View attachment 1129943
Huyu nae utafikiri kabalehe leo. Ana hamu ya ndoa mpaka basi. Nakumbuka alijiita hadi Mrs Dee. Wallah bora ukose mali kuliko kukosa akili.
 
Back
Top Bottom