Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Unaona sasa! Unaona namtetea Diamond wakati napinga tabia za kijinga za wanawake wajinga! Anyway, tuseme namtetea! Ni kipi cha uongo ambacho nimesema hapo?!
Ni vya kweli lakini umeviweka kwa mtindo wa kumtetea dai
 
Umepanic my dear mypulseee my matacow hahahahhaaa Zari mbayaaaaaa pole. Hashobokewi mtu hapa.

Akili za tununu ni zile za kwenda mahakamani au akinyimwa child support anazira kumpost mtoto na kumuunfollow domo?
 
Ni vya kweli lakini umeviweka kwa mtindo wa kumtetea dai
The truth is in my heart lakini amini usiamini, nilikuwa disappointed sana na Zari pale alipoingia kwenye mtego wa kijinga kama ule ambao kimsingi ndio uliwatenganisha na sio suala la Hamisa! Pitia records zako na utagundua baada ya Mond ku-confess, hapakuwa na tatizo kubwa kati yao na Mond akawa anaenda SA kama kawaida hadi pale ilipovujishwa video ya Wema ambayo haikuwa na lengo lolote zaidi ya kuwatenganisha!! Na kama utarejea kumbukumbu zako sawasawa, utagundua video ay Wema ilitolewa kati ya simulizi za Tunda kulala Madale; simulizi ambazo zimekufa kabisa!!

But all in all, there's no way naweza kumtetea mtu anayetumia watoto kwenye ugomvi na mwenza wake isipokuwa kwa sababu ambazo nimetaja hapo kabla!
 
Haya babe
 
Haya babe
Hakuna cha haya! Hata wewe nikigundua una tabia ya kutumia watoto, trust me, nitakushukia tu! Sikufichi, am very sensitive na watoto! Hapa JF nina marafiki kibao ambao ni Walimu lakini walinikoma siku Mwalimu wa Mbeya alivyompiga vibao yule dogo! Niliwachenjia hadi mwenyewe nilijishangaa manake na wenyewe walikuwa wamamtetea mwalimu mwenzao kama wewe unavyojaribu kuhalalisha anachofanya Zari!!

Baby, nazungumza hili (hivi sasa) kutoka ndani kabisa ya moyo wangu and has nothing to do na huu mjadala! Don't ever use watoto kwa ugomvi wako na baba yao! Na kama umeshafanya hivyo, please, fikiria mara mbili kwa sababu amini usiamini, kuwatengenezea chuki watoto hakuwezi kukusaidia wewe, wala watoto! Back in the days nilikuwa najiuliza kwanini 50 Cent hamjali Marquise Jackson, mtoto wa kwanza wa 50 Cent. Baada ya kupekua pekua nikagundua kumbe na mamake ndie alimlisha sumu Marquise and the kid is now 21 lakini ni mbwa na paka na baba yake! Sasa huyu Mama Marquise ananufaika nini na hii chuki ya mtu na babake?!
 
Hahaaa we mwanaume umeamua kunivalia njuga leo, mimi binafsi naamini siwezi kufanya hivi ila siwezi kukuahidi chochote [emoji3][emoji3]
 
Ujumbe ni labda nyumba ataipangishs.. ni yake sasa na watoto. Huyo dee akanunue nyumba kenya sasa
 
Hahaaa we mwanaume umeamua kunivalia njuga leo, mimi binafsi naamini siwezi kufanya hivi ila siwezi kukuahidi chochote [emoji3][emoji3]
Yapo mazingira ambayo nayakubali hata mimi! Nikikupa mimba halafu nikakutaa halafu baadae nianze kujileta, siwezi kuku-judge ukinifanyia hayo!! But all in all, tafuta njia yoyote ya kutokuwa karibu na "wanao" lakini sio kumpa mtoto sumu kwa sababu it's a matter of time,mtoto ataujua ukweli na baada ya hapo itakuwa ngumu sana kwake kukuamini!!
 
Umesomeka baba
 
Umesomeka baba
Halafu unadhani nina mashaka na wewe basi!! I'm a creative writer (usinichukie kuandika magazeti coz' am a writer! Watu aina yangu maneno huwa yanatoka tu yenyewe bila kufikiria; and trust me, I hate it)! Creative Writers huwa tunasikia sauti kwenye maandishi! And trust me, naisikia sauti yako kwenye maandishi yako kiasi cha kuweza kuhisi unaweza kuwa ni mtu wa aina gani!! Huwa nakufananisha na member mwingine hapa JF!
 
Haha I can see that, mimi huwa nakufananisha wewe na Relief Mirzska pamoja na Samwel mdodo [emoji23][emoji23][emoji23] hebu niambie huyo memba unayenifananisha nae
 
Haha I can see that, mimi huwa nakufananisha wewe na Relief Mirzska pamoja na Samwel mdodo [emoji23][emoji23][emoji23] hebu niambie huyo memba unayenifananisha nae
Duh! Yaani JF ni kama jiji! Watu mnafahamiana kutokana na mitaa (majukwaa) mnayopenda kutembelea! Hao wote hakuna hata mmoja ninayemfahamu, and I can bet ni members kindakindani ama MMU au Chit-chat or both 😀😀! Kuhusu wewe, dah, yaani kama joanah! Huwa nikisikiliza "sauti" zenu, you sound like sisters! Nikikuta mnagombana na mtu hapa JF, lazima niingilie kuwatetea kwa sababu nitajua tu mtakuwa mmechokozwa kwa kiwango kisichovumilika!
 
Hahaha joanah tena, nilikuwa namfikiria mtu tofauti. Basi inawezekana ni ndugu si unajua dunia ndogo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…