Ulikuwa unamfikiria nani? Na ni nitakuambia kwamba ni mle mle tu, au mnh!!Hahaha joanah tena, nilikuwa namfikiria mtu tofauti. Basi inawezekana ni ndugu si unajua dunia ndogo hii
Alichokuwa amekosea Hamisa sio kwenda mahakamani bali kushikiwa akili zake na akina Mange!! Kama asingeshikiwa akili, mosi wala asingevujisha siri mapema vile ili kujaribu kuwaachanisha Mond na Zari!! Na alipoona suala la kuwaachanisha limegonga mwamba, wakamjaza kwamba hapo lazima upewe mamilioni kwavile wanasikia kesi za ina hiyo zinazowahusu ma-celeb wa US bila kufahamu sheria za US na TZ ni tofauti! Na hata huko US kwenyewe, sheria zinatofautiana kati ya jimbo na jimbo!Umepanic my dear mypulseee my matacow hahahahhaaa Zari mbayaaaaaa pole. Hashobokewi mtu hapa.
Akili za tununu ni zile za kwenda mahakamani au akinyimwa child support anazira kumpost mtoto na kumuunfollow domo?
Wale wale kwa 100% !! Nimemtaja Joanah kwa sababu yeye angalau nimewahi ku-interact nae hapa JF hadi nikamwambia nampenda (I hope hautaniacha)! Huyo Atoto nisingeweza kumtaja kwa sababu sikumbuki nime-interact nae lini!
Baby, acha habari zako; hiyo ilikuwa zamani bhana na yeye alishasema hanitaki na nimkome! Sa' hofu ya nini my angel 🌹 🌹 !Whaat... ??! Ulisema unamfanyaje [emoji24]
Kitendo cha wewe tu kumpenda imeniuma sana [emoji24]Baby, acha habari zako; hiyo ilikuwa zamani bhana na yeye alishasema hanitaki na nimkome! Sa' hofu ya nini my angel [emoji257] [emoji257] !
We mbona unachepuka na yule jamaa halafu mimi sisemi? Au unadhani hainiumui? Yule mchepuko wako sijui mwasu vile, sijui wasu! Hebu nikumbushe jina lake yule jamaa unayechepuka nae, au kama vp natafuta mwenyewe halafu nam-call hapa ubishe 😢Kitendo cha wewe tu kumpenda imeniuma sana [emoji24]
Umwite wa nini sasa, nachepuka nae ndio kwani nimesema nampenda?We mbona unachepuka na yule jamaa halafu mimi sisemi? Au unadhani hainiumui? Yule mchepuko wako sijui mwasu vile, sijui wasu! Hebu nikumbushe jina lake yule jamaa unayechepuka nae, au kama vp natafuta mwenyewe halafu nam-call hapa ubishe [emoji22]
Sa' mimi niliyekuwa napenda lakini nikakataliwa na kwahiyo sikuchepuka na wewe ambae hupendi lakini kila siku unachepuka; bora nani?! Wanadamu tumeumbwa tupende ati, na kwahiyo hakuna kosa kupenda! Lakini wewe, aaaaaargh! Ni full kuchepuka 😡💔! Inauma sana yaani!Umwite wa nini sasa, nachepuka nae ndio kwani nimesema nampenda?
Hata hivyo nimeacha kweli tenaSa' mimi niliyekuwa napenda lakini nikakataliwa na kwahiyo sikuchepuka na wewe ambae hupendi lakini kila siku unachepuka; bora nani?! Wanadamu tumeumbwa tupende ati, na kwahiyo hakuna kosa kupenda! Lakini wewe, aaaaaargh! Ni full kuchepuka 😡[emoji174]! Inauma sana yaani!
Unasemaje wewe? Au nimuite hapa?Hata hivyo nimeacha kweli tena
Umuite wa nini sasa au unataka niendelee naeUnasemaje wewe? Au nimuite hapa?
Muulize anaijua dawa nasana?!Hayo ndio maneno sasa[emoji3][emoji3]
Muulize anaijua dawa nasana?!
Haswaa watavimba na kupasuka [emoji1787][emoji1787]Haha pole kwa mshtuko na bado yanakuja ambayo hujategemea..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbuka zari ni uzao wa nduli idd amin dadaaa.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zari sio wema
Ndo n'shasema hivyo, wakati nakuambia ni jinsi gani nakupenda lakini kaa ujue it's a matter of time kabla hamjanasana! Sitaki mchezo mimi, kwa mke wangu!Ya nini bwana achana na huyo, let's talk about us [emoji3]