Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Kumbe Bibi Tifa naye alifanyaga 'Private wedding',!!!!!!!. Basi mshamba ni mie na MB zangu!Ushamba ni kushangaa mama tee kuolewa akiwa na watoto wakati bibi tifa kaolewa kikongwe ana mpaka vitukuu vp kwani kuolewa mwisho miaka mingapi tujuze.
Ulitangaziwa ndoa ya bibi tifa? Ushamba ni pale ulivoona cheti cha ndoa baada ya interview na mafekechee ya mwanamke aliezaa na shamte ukajikuta unajua ndoa ilifungwa lini ni wivu tuu tulia utaolewa soon kwani unateseka karibu fasi ya umbea unaoumiza.comKumbe Bibi Tifa naye alifanyaga 'Private wedding',!!!!!!!. Basi mshamba ni mie na MB zangu!
But unajua mwanamke anayezaa uzao mwingi huchelewa kuingia menopause?Ndoa ya menopause
Kwa raha zake...!Ushamba ni kushangaa mama tee kuolewa akiwa na watoto wakati bibi tifa kaolewa kikongwe ana mpaka vitukuu vp kwani kuolewa mwisho miaka mingapi tujuze.
Yule nae ana watoto kama United colours of BenitonBut unajua mwanamke anayezaa uzao mwingi huchelewa kuingia menopause?
By Nyanya yangu.
Nawahurumia wanaoumizwa na maisha ya Zari. Jamani eee huyu ni mganda sio mtanzania tuache kumshobokea ebooo alisikika msukule mmoja wa mange huko insta
Mkuu kwan UNATESEKA???
Mahojiano ya Zari na Millard Ayo yamenipa simanzi, Diamond badilika kijana Instagram itapita ila wanao ndo pensheni yako mdogo wangu.Tanasha umeingia cha kiume kwa kweli.
Yule nae ana watoto kama United colours of Beniton