Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Kumbe Bibi Tifa naye alifanyaga 'Private wedding',!!!!!!!. Basi mshamba ni mie na MB zangu!Ushamba ni kushangaa mama tee kuolewa akiwa na watoto wakati bibi tifa kaolewa kikongwe ana mpaka vitukuu vp kwani kuolewa mwisho miaka mingapi tujuze.