Zari the boss lady ameolewa

Zari the boss lady ameolewa

Ushamba ni kushangaa mama tee kuolewa akiwa na watoto wakati bibi tifa kaolewa kikongwe ana mpaka vitukuu vp kwani kuolewa mwisho miaka mingapi tujuze.
Kumbe Bibi Tifa naye alifanyaga 'Private wedding',!!!!!!!. Basi mshamba ni mie na MB zangu!
 
Mahojiano ya Zari na Millard Ayo yamenipa simanzi, Diamond badilika kijana Instagram itapita ila wanao ndo pensheni yako mdogo wangu.Tanasha umeingia cha kiume kwa kweli.
 
Kwa anavyopenda show off lakini picha hajarusha?
Mbona kama kuna vificho kwani jamaaa ni mume wa mtu?
 
Kumbe Bibi Tifa naye alifanyaga 'Private wedding',!!!!!!!. Basi mshamba ni mie na MB zangu!
Ulitangaziwa ndoa ya bibi tifa? Ushamba ni pale ulivoona cheti cha ndoa baada ya interview na mafekechee ya mwanamke aliezaa na shamte ukajikuta unajua ndoa ilifungwa lini ni wivu tuu tulia utaolewa soon kwani unateseka karibu fasi ya umbea unaoumiza.com
 
Nimefurahi mno yani nimefurahi hatari

Ndoa njema kwake zari akili mingi
 
Haters waugue pole
Nawahurumia wanaoumizwa na maisha ya Zari. Jamani eee huyu ni mganda sio mtanzania tuache kumshobokea ebooo alisikika msukule mmoja wa mange huko insta
 
Ana aliyezaa na kikagula hamisa na huyu wa mkenya wanamtosha
Mahojiano ya Zari na Millard Ayo yamenipa simanzi, Diamond badilika kijana Instagram itapita ila wanao ndo pensheni yako mdogo wangu.Tanasha umeingia cha kiume kwa kweli.
 
Zari haoleki,ni off the shelves!
Labda apate kibabu kilichofiwa na mkewe
 
Back
Top Bottom