Mi nilichamba rayc kuhusu mkorogo wake akaniblock,nikamchamba wema akaniblock nikafungua nyingine hhhhhaaaaa wala hata sikuumia
Mi nilichamba rayc kuhusu mkorogo wake akaniblock,nikamchamba wema akaniblock nikafungua nyingine hhhhhaaaaa wala hata sikuumia
Aghghhh,ngoja ntapike kwanza...
Hivi kale kamkorogo kamethibitishwa kweli na shirika la viwango Tz.....
Hivi kale kamkorogo kamethibitishwa kweli na shirika la viwango Tz.....
Mi nilinusurika kwa rayc na huo mkorogo wake insta ukijifanya unahoji sana unachezea block
Akwende zake na marienge yake na mkorogo wakeeee sie ni natural line hatuhaingikiii
Kathibitishwe wapi haina hata label nilimuuliza ingredients ni nini akadai tunaohoji ni haters tunamuonea wivu
mambo c ndo hayo bhana....Haya basi nangoja hadi ufurahi!
Khaaaaa!mambo c ndo hayo bhana....
Huyu zari mbona akuzwa hivyo? Baada ya kumnasa diamond amepanda kwenye chati TZ!
My dear, double tapping sindio ku like kwenyewe?
Dah! Mi amenionea tu. . . Sijawahi kucomment hata sku moja. . . All i did was double tapping
You are welcome. .....Heeee...najua mm basi asavali unenifumbua macho
Double tapping ndio mdudu gani???
Double tapping ndio mdudu gani???