Zari the boss lady ananitesa bila sababu

Mi nilichamba rayc kuhusu mkorogo wake akaniblock,nikamchamba wema akaniblock nikafungua nyingine hhhhhaaaaa wala hata sikuumia

Mi nilinusurika kwa rayc na huo mkorogo wake insta ukijifanya unahoji sana unachezea block
 
Hivi kale kamkorogo kamethibitishwa kweli na shirika la viwango Tz.....
 
Aaa wapiii yaan hiv vioo vinadanganya yaan alivyooza na akipaka ile make up sasa kama jinikashikashi anajiona kapendezaa kumbe manyanya mabeseee
 
Hivi kale kamkorogo kamethibitishwa kweli na shirika la viwango Tz.....

Kathibitishwe wapi haina hata label nilimuuliza ingredients ni nini akadai tunaohoji ni haters tunamuonea wivu
 
Mi nilinusurika kwa rayc na huo mkorogo wake insta ukijifanya unahoji sana unachezea block

Akwende zake na marienge yake na mkorogo wakeeee sie ni natural line hatuhaingikiii
 
Kathibitishwe wapi haina hata label nilimuuliza ingredients ni nini akadai tunaohoji ni haters tunamuonea wivu

na ukihoji zaidi anakublock, maana yale ni makopo ya mikanda ya camera, unaeza kuungua ukipaka kwakweli hata kama ni ujasi waangalie na afya za watu........
 
Pole may b username yako inafanana na waliomkandia ukapata ban umoumo kumbe haikuhusu
 
Aaagh labda amekusoma kwa mwingine umekomenti vibaya au kiaina cha kumuuzi akakubuloki.

Usijali andika kwa Diamond atasoma tu.
 
Huyu zari mbona akuzwa hivyo? Baada ya kumnasa diamond amepanda kwenye chati TZ!
 
Back
Top Bottom