mimi huyu huyu
Member
- Feb 8, 2015
- 88
- 34
Habari ndugu wana JF, nimeanzisha uzi huu nikiamini huenda ZARI akauona anitatulie tatizo langu.
Mimi nilikuwa follower wako mzuri tu kule instagram. . Nilichokuwa nikifanya ni ku double tap tu kwenye kila picha unayoweka. . . Na wala sipo team yoyote katika zile team zako na yule mtoto wa balozi.. .Yani Am completely neutral katika ishu hii. . .All I was doing is enjoying ur beauty.
Sasa nashangaa juzi kati apa nakuta nimechezea block moja matata sana ata sjui kosa langu nini.
Zari weeeeeeeee! Unanitesa mwenziio, dont leave me alone pls.
Wana JF nisaidieni kuniombea kwa huyu mdada. . Ani PM nimpe username yangu aniblokue.