warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Ana uzuri gani?
Huo wa kununua, hayo mawigi, meckups n.k?
Kuna wanawake wenye uzuri wa asili na siyo hao wavaa mawigi na meckups
Sio meckups jaman ni make up, halafu nimgendua wengi wanaomchukia Zari ni mabogus hawajielewi hawana mbele wala nyuma[emoji23]