Ana uzuri gani?
Huo wa kununua, hayo mawigi, meckups n.k?
Kuna wanawake wenye uzuri wa asili na siyo hao wavaa mawigi na meckups
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi najikubali vile nilivyo!
Alivyonifinyanga Bwana yatosha nikiwa na Bwana yatosha! [emoji440][emoji446][emoji441][emoji448][emoji449][emoji443][emoji450][emoji450]
In Kakobe ‘s voice [emoji14][emoji14][emoji14]
Nyoo usimuingize bwana kwenye umalaya wako mxieew
Sio meckups jaman ni make up, halafu nimgendua wengi wanaomchukia Zari ni mabogus hawajielewi hawana mbele wala nyuma[emoji23]
Naona umemaliza kabisa warumiMmnh!
Leo naona umepotea njia yaani umevaba mazima!
Siyo wote wanaochangia mada humu wako kama wewe ulivyo na hao kina zari wako [emoji108][emoji108]
Na bahati mbaya sijajaliwa kujua kutukana watu !
Yani hapa nilipo hata kusonya huwezi amini sijui kabisa !
Kwa hiyo pole mimi siyo wa aina yako mwaya!
Jifunze kupokea michango ya mawazo ya watu wenye mitazamo mbali mbali hata iliyo tofauti na yako!
Pia fahamu siyo kila anaechangia mada zao ni malaya na mdangaji kama wewe na Zari n.k
Warumi zari amekulipa Nini?ili umpigie promo humu jamiiforum naona thread zako zote za zari unafungua wewe.
hii ni kweli sio uongo.Shosti mbona wewe komenti zako zote kumpamba domo,amekulipa?
Coz alimzaa nae inabidi asimamie Mali sake. Vip mbona husemu juzi alivyojioa??😁😁😁😁😁Aliolewa na ndio maana anasimamia mali zote za mume wake kwa taarifa yako , Incase you didn’t know pole
Akiharibu nitamchana na sio diamond pekee kila celebrities me nipo very honest mtu akifanya vizuri lazima nikusifie kama ninavyomsifia member mwenzetu marianah huyu dada namkubali Sana anaandikaga point Sana hata we uliandika point nitakusifia na nitakupa like yangu ila tatizo lako unatanguliza Sana mapenzi yako kuliko uhalisia ndo maana unaniona mbayaShosti mbona wewe komenti zako zote kumpamba domo,amekulipa?
Aah aah kamanda kwanini na we kwenye Uzi wa diamond unakuwepo?hii ni kweli sio uongo.
huyu jamaa ni afisa habari wa chibu dangote
nahisi atakuwa analipwa! Kila Uzi Wa Mondi Yeye Yumo.
hii ni kweli sio uongo.
huyu jamaa ni afisa habari wa chibu dangote
nahisi atakuwa analipwa! Kila Uzi Wa Mondi Yeye Yumo.
Akiharibu nitamchana na sio diamond pekee kila celebrities me nipo very honest mtu akifanya vizuri lazima nikusifie kama ninavyomsifia member mwenzetu marianah huyu dada namkubali Sana anaandikaga point Sana hata we uliandika point nitakusifia na nitakupa like yangu ila tatizo lako unatanguliza Sana mapenzi yako kuliko uhalisia ndo maana unaniona mbaya
napitaga kwenye nyuzi zote jamangu ila me sipo upande wowote huwaga natoa haki panapostahili mkuuAah aah kamanda kwanini na we kwenye Uzi wa diamond unakuwepo?
Hakuna sehemu niliyowahi kukujibu ovyo na pia ujue me nipo very humble na ni mpole na nisie penda makuu labda kutofautiana mawazo na wewe unaweza kunichukulia hivyoHapa ndo tabia yako halisi sema vile nyani haoni kund.le
Kwani hii thread inamuhusu diamond?mpaka useme kila Uzi wa diamond ndo nachangia?napitaga kwenye nyuzi zote jamangu ila me sipo upande wowote huwaga natoa haki panapostahili mkuu
Wagombea wenye akili kama za warumi au hata kama zina harufu ya urumi urumi wanatakiwa kuogopwa kama moto wa JehanamuUchaguzi wa serikali za mitaa unakaribia tuwe makini wakuu kuchagua wenyeviti