Zari the boss lady, Breaking the internet again.

Kwa nn hakumuachia hamisa au Kim nana au official Lynn? , Zari anajielewa na endelea kufikiri kuwa ipo siku diamond atachukua ile Nyumba , never
 
Kwakweli..umenena vyema wanawake watafute tu pesa sababu hata wakimchukia huyo mlengwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
 
Hoes maana yake nini?
[/QUOTE]
Hoes ni "majembe" mwanakwetu ila haya yanalima bustani za chini ya kitovu,kupalilia muhogo wa jang'0mbe.Kwa Dar yanapatika Buguruni,Sinza,Tabata n.k na mara nyingi kilimo hufanyika usiku,japo hata mchana inawezekana
 
Hater wanakera mno kutwa kumfatafata Zari. Halafu nawaonea huruma mara leo wapo kwa tununu,kesho kwa kashata,etc
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] numbisa ..wanifurahisha ujue
 
Mungu fundi kampa pesa kamnyima ndoa hata Ivan hakuoa kidini, analilia ndoa ndio maana juzi kajioa dah aibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bora huyo kapewa pesa. Kuna wengine wamekosa kila kitu na wakazawadiwa ukimwi. Yaani ukimfikiria Mungu unaweza kumfuata huko na mapanga na marungu
 
Bora huyo kapewa pesa. Kuna wengine wamekosa kila kitu na wakazawadiwa ukimwi. Yaani ukimfikiria Mungu unaweza kumfuata huko na mapanga na marungu

Ahahahah mbavu zangu binamu [emoji23][emoji23][emoji23], umemaliza kila kitu
 
Bora huyo kapewa pesa. Kuna wengine wamekosa kila kitu na wakazawadiwa ukimwi. Yaani ukimfikiria Mungu unaweza kumfuata huko na mapanga na marungu
Huyu jina zari LA mtende, mi nyimbo alitoa mibaya ( hakutoka kama mimi) kumpata dai afrika imemjua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…