warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #101
Kwahiyo binamu leo hii nikinunua nyumba huku hati ya nyumba ikiwa na jina ni la kwangu, hati yenyewe nimeiweka ninapopajua mimi, lakini kutokana na sababu moja au nyingine nikakuacha wewe uishi kwenye hiyo nyumba, ndo tayari utakuwa unatamba nimekunulia nyumba?!
Lakini sitashangaa manake dada wa mjini ndo zao hizo! Huwa wanatamba kununuliwa gari wakati hata rangi ya kadi ya hiyo gari hawajaiona!
Kwa nn hakumuachia hamisa au Kim nana au official Lynn? , Zari anajielewa na endelea kufikiri kuwa ipo siku diamond atachukua ile Nyumba , never