Zari the boss lady, Breaking the internet again.

Zari the boss lady, Breaking the internet again.

Kwahiyo binamu leo hii nikinunua nyumba huku hati ya nyumba ikiwa na jina ni la kwangu, hati yenyewe nimeiweka ninapopajua mimi, lakini kutokana na sababu moja au nyingine nikakuacha wewe uishi kwenye hiyo nyumba, ndo tayari utakuwa unatamba nimekunulia nyumba?!

Lakini sitashangaa manake dada wa mjini ndo zao hizo! Huwa wanatamba kununuliwa gari wakati hata rangi ya kadi ya hiyo gari hawajaiona!

Kwa nn hakumuachia hamisa au Kim nana au official Lynn? , Zari anajielewa na endelea kufikiri kuwa ipo siku diamond atachukua ile Nyumba , never
 
Kupitia hii thd nimeona jinsi wanawake wanavyochukiana kwa misingi ya kuoneana wivu tu! kumchukia aliyekuzidi kwa kila kitu hakurahisishi maisha yako kua mazuri,jifunze mazuri toka kwa watu na mabaya waachie wao wenyewe,kila mtu ana mambo mazuri na mabaya,nobody is perfect.
Kwakweli..umenena vyema wanawake watafute tu pesa sababu hata wakimchukia huyo mlengwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
 
Hoes maana yake nini?
[/QUOTE]
Hoes ni "majembe" mwanakwetu ila haya yanalima bustani za chini ya kitovu,kupalilia muhogo wa jang'0mbe.Kwa Dar yanapatika Buguruni,Sinza,Tabata n.k na mara nyingi kilimo hufanyika usiku,japo hata mchana inawezekana
 
Mungu fundi kampa pesa kamnyima ndoa hata Ivan hakuoa kidini, analilia ndoa ndio maana juzi kajioa dah aibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bora huyo kapewa pesa. Kuna wengine wamekosa kila kitu na wakazawadiwa ukimwi. Yaani ukimfikiria Mungu unaweza kumfuata huko na mapanga na marungu
 
Bora huyo kapewa pesa. Kuna wengine wamekosa kila kitu na wakazawadiwa ukimwi. Yaani ukimfikiria Mungu unaweza kumfuata huko na mapanga na marungu

Ahahahah mbavu zangu binamu [emoji23][emoji23][emoji23], umemaliza kila kitu
 
Bora huyo kapewa pesa. Kuna wengine wamekosa kila kitu na wakazawadiwa ukimwi. Yaani ukimfikiria Mungu unaweza kumfuata huko na mapanga na marungu
Huyu jina zari LA mtende, mi nyimbo alitoa mibaya ( hakutoka kama mimi) kumpata dai afrika imemjua.
 
Back
Top Bottom