Zari the boss lady, Breaking the internet again.

Zari the boss lady, Breaking the internet again.

Huyu warumi mbona haendani na jina alilojipachika hapo “warumi”?. Hata kama ni fake I'd angalau fanya iendane na ulivyo?. Mimi nafikiri ungetumia I'd kama ”MIPASHO” au ”USHAMBENGA”. lingekukaa vizuri na hiyo picha ungeweka ya ”MWAJUMA NDALA NDEFU”. Hamna bwana,natania tu warumi usije ukanichamba. Kwanza ulinihabarisha kwa uzuri sana matukio ya kwa mengi. Hivi iliishieje wale waliotumwa kumlinda kyrin asi-escape?.
 
Do not judge a book on its cover [emoji108][emoji108][emoji108]

Hivi viingereza vya humu saingine tunajiandikia tu ili mradi ilete maana fulani.

Sasa wewe na kiingereza chako cha ki mission town cha kwa ras Simba ndo ungekuwa msahihishaji wa wazamivu na wabobezi?!

[emoji14][emoji14][emoji14]

Mimi sio size yako
 
Mmnh!

Leo naona umepotea njia yaani umevaba mazima!

Siyo wote wanaochangia mada humu wako kama wewe ulivyo na hao kina zari wako [emoji108][emoji108]

Na bahati mbaya sijajaliwa kujua kutukana watu !

Yani hapa nilipo hata kusonya huwezi amini sijui kabisa !

Kwa hiyo pole mimi siyo wa aina yako mwaya!

Jifunze kupokea michango ya mawazo ya watu wenye mitazamo mbali mbali hata iliyo tofauti na yako!

Pia fahamu siyo kila anaechangia mada zao ni malaya na mdangaji kama wewe na Zari n.k

Maskin , sasa kuchamba kwenyewe hujui Sijui nakusaidiaje, yan nilikua nimejiandaa kukuchamba Mungu wangu ila kwa kuwa umejisalimisha kuwa hujui matusi, kikombe kimekuepuka, kuwa na usiku mwema
 
"Nyie hoes wa bei rahis you can’t compete with her, mtahangaika ku team up against Zari but hamumuwezi kwa chochote yan[emoji23], sio kwa uzuri, pesa , followers yan kila kitu"
Huu waraka bora ukapost katika page za hao unaodhani hoes sio kututusi wasomaji wote

Ukisikia paaa, Mimi simo binamu , wasalimie
 
Huyu warumi mbona haendani na jina alilojipachika hapo “warumi”?. Hata kama ni fake I'd angalau fanya iendane na ulivyo?. Mimi nafikiri ungetumia I'd kama ”MIPASHO” au ”USHAMBENGA”. lingekukaa vizuri na hiyo picha ungeweka ya ”MWAJUMA NDALA NDEFU”. Hamna bwana,natania tu warumi usije ukanichamba. Kwanza ulinihabarisha kwa uzuri sana matukio ya kwa mengi. Hivi iliishieje wale waliotumwa kumlinda kyrin asi-escape?.

Ahahah hayo majina sasa khaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi najikubali vile nilivyo!

Alivyonifinyanga Bwana yatosha nikiwa na Bwana yatosha! [emoji440][emoji446][emoji441][emoji448][emoji449][emoji443][emoji450][emoji450]

In Kakobe ‘s voice [emoji14][emoji14][emoji14]

Weka picha tuone kama wasema ukweli
 
Hili lidada linanyota jamani....sitaki kuamini linapanickisha wanaojiita wanaume humu jf...qumamae
 
Back
Top Bottom