Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Kumekucha Instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan.

Mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss lady huwa haongei ongei hadi achokozwe,mkapate IG habari kamili,Zari kamwaga mboga.

Chaggabebe nae kamwaga ugali.

Leooooooooo...
 
Attachments

  • Screenshot_2015-03-26-12-57-11.png
    63.1 KB · Views: 14,098
  • Screenshot_2015-03-26-12-56-38.png
    27 KB · Views: 13,810
  • Screenshot_2015-03-26-12-56-24.png
    24.4 KB · Views: 13,715
Uwiiiii! Kweli Zari atakua kachokozwa sio mtu wa kuropoka hovyo.Ila kuna kitu kinashangaza hapa....kama Zari ameshaachana na mumewe na sasa hivi ana mpenzi mwingine, wivu wa nini?Au ndio yaleyale tuliyosikia kua hili ni game na Diamond atakua looser at the end?
 
Hahahaaa, ila chagga barbie naye bwana? Eti raising the innocent won't hurt at all...lol
Yeye aseme tu ukweli anafuata pesa bwana.
 
ha ha ha ha tatizo sio kuwa na.ivan tatizo wanamchokoza chokoza zari na hizo team team ushuzi na leo kaamua kusimamia show anajibu comments za watu kweli kavuruga zari
 
Hahahaaa, ila chagga barbie naye bwana? Eti raising the innocent won't hurt at all...lol
Yeye aseme tu ukweli anafuata pesa bwana.

raising the innocent kwani zari hawalei watoto wake,ila mbona ivan ana huyo mdada nliskia ndo anataka kumua simkumbuki hata jina Dinazarde hiy ndoa haipo tena??
 
Last edited by a moderator:
Mi nashindwa kuelewa hawawezi kua na ivan mpaka wamchokonoe zari,zari keshatukanwa mnoo lakini anakaaga kimya leo kaamua sasa housegirl toka Usa heheeee

Na Citizen alisema kua yeye na ivan washaachana ila huwasiliana mara chache kwaajili ya watoto,sasa tatizo wapii,huyo chaga na makaratasi hana akaege huko huko kazi kusaka mabwana kwa nguvu,zari leo kanikomeshea mbwaaa aisee nimecheka mpaka bassi

warumi
wahi huku
 
raising the innocent kwani zari hawalei watoto wake,ila mbona ivan ana huyo mdada nliskia ndo anataka kumua simkumbuki hata jina Dinazarde hiy ndoa haipo tena??

Hhhhhhaaaaaaaaa ndoa sijui lini yakhe ila warumi ana ubuyu eti ni mama mbunge,
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha tatizo sio kuwa na.ivan tatizo wanamchokoza chokoza zari na hizo team team ushuzi na leo kaamua kusimamia show anajibu comments za watu kweli kavuruga zari

Halafu ivan si ana mwanamke anaitwa Sharon sijui nimepatia ndio anaishi nae duuu kwa hili chagga ni mchokozi nyokosti
 
raising the innocent kwani zari hawalei watoto wake,ila mbona ivan ana huyo mdada nliskia ndo anataka kumua simkumbuki hata jina Dinazarde hiy ndoa haipo tena??
Hapo sasa.Naye chagga aseme tu anataka pesa.
Huyo mdada si nasikia anaishi naye jamani?
 
Last edited by a moderator:
ila sijui kwanini mi chaggabarbie namuonaga ka kahaba fulani!.. uyo Zari angalau alipata muda wa kutimiza uanamke Stella Tillya loh...hapana kwakweli
 
ila sijui kwanini mi chaggabarbie namuonaga ka kahaba fulani!.. uyo Zari angalau alipata muda wa kutimiza uanamke Stella Tillya loh...hapana kwakweli
Sio unamuonaga kama.....ndiye.
Bora Zari kazaa na bado mrembo hatariiiii.Hao wengine wazae basi tuwaone.
 
ha ha ha zari kanifurahishq mchagga kabaki anapost picha tu za tutakko et kiss my ass tutakko twenyewe man made lol
 
Last edited by a moderator:
Huyu sijui Chaggabebi huwa namuona ni kituko tuu ...wanamchokoza sana mwenzao. Lakini Diamond amekuwa nafuraha sana akiwa na huyu mdada ..

Attachments

  • 1427371649660.jpg
    51.5 KB · Views: 5,029
  • 1427371902014.jpg
    31.9 KB · Views: 4,943
Halafu ivan si ana mwanamke anaitwa Sharon sijui nimepatia ndio anaishi nae duuu kwa hili chagga ni mchokozi nyokosti
leo uchokozi wake umemtokea puani...zari huwa hajibu jibu ila siku akiamua kujibu mweh yani kama karusha bomu lol
 
Wote wagawaji tu.....

Zari ni unsummit na chagga ni un summit vilevile....bahati mbaya tu chagga hata makaratasi hana

Na zari bila ivan ni zeeeeeeeerooooooooo juzi kwenda nairobi tu ilibidi adokoe kwenye akaunti ya watoto
zari's jewelry haiuzi au??na yale maduka ya nguo??mmh labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…