Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Chagga anapenda ligi
Sielewagi hawa wadada wakibongo wanaoishi majuu ni waswahili kupitiliza wanatokwaga povu kwa mambo ya kijinga kama malimbukeni hivi yaani
 
Mi nashindwa kuelewa hawawezi kua na ivan mpaka wamchokonoe zari,zari keshatukanwa mnoo lakini anakaaga kimya leo kaamua sasa housegirl toka Usa heheeee
Na Citizen alisema kua yeye na ivan washaachana ila huwasiliana mara chache kwaajili ya watoto,sasa tatizo wapii,huyo chaga na makaratasi hana akaege huko huko kazi kusaka mabwana kwa nguvu,zari leo kanikomeshea mbwaaa aisee nimecheka mpaka bassi warumi wahi huku

Wanawake sisi tupoje.Huyu Stella tillya nae kwa wanaume wa watu.Get a job Stella wanaume sio wakuwachezea.wanaume wanatumia akili wakipenda na wanawake hata hatueleweki .

Utapata shida duniani wewe mtoto usipojieshimu na kutunza mwili wako ( your body is the temple of God remember that ) Mungu kakupa kila kitu ila your insulting God kwa kuutumia mwili wako Kama kitega uchumi.Mungu ni Mkali kwelikweli kwenye mambo ya sex .Sex ni kitu very spiritual na unafanya mchezo .

Haya
 
leo uchokozi wake umemtokea puani...zari huwa hajibu jibu ila siku akiamua kujibu mweh yani kama karusha bomu lol

Zari namuaminia kwa kukaa kimyaa hhhhaaa leo kaamua na anajibu comment leo
 
Huyu sijui Chaggabebi huwa namuona ni kituko tuu ...wanamchokoza sana mwenzao. Lakini Diamond amekuwa nafuraha sana akiwa na huyu mdada ..
Uwiiiii! Uwiiiiii! Haya mahaba ya Diamond kwa Zari tu ndipo hua ninapompendea.The guy knows exactly how to take care of his 'wife'...
Sijui wema anajisikia vipi akiona haya mapicha.Kiukweli ningekua mimi ningeumia sana!
 
Uwiiiii! Uwiiiiii! Haya mahaba ya Diamond kwa Zari tu ndipo hua ninapompendea.The guy knows exactly how to take care of his 'wife'...
Sijui wema anajisikia vipi akiona haya mapicha.Kiukweli ningekua mimi ningeumia sana!
af ana maksudi huyu kijana mbona enzi hizo alikua hasafiri na mbebe wake ha ha ha mbebe anasubiri kumpokea airpor ila show za sahv popote yupo na zarinah lol
 
Wanawake sisi tupoje.Huyu Stella tillya nae kwa wanaume wa watu.Get a job Stella wanaume sio wakuwachezea.wanaume wanatumia akili wakipenda na wanawake hata hatueleweki .Utapata shida duniani wewe mtoto usipojieshimu na kutunza mwili wako ( your body is the temple of God remember that ) Mungu kakupa kila kitu ila your insulting God kwa kuutumia mwili wako Kama kitega uchumi.Mungu ni Mkali kwelikweli kwenye mambo ya sex .Sex ni kitu very spiritual na unafanya mchezo .Haya
Hahahaaa, unadhani kuna atakayekusikiliza mwaya? Halafu huyo chagga si mkristo jamani? Na kwaresma yote hii?
 
af ana maksudi huyu kijana mbona enzi hizo alikua hasafiri na mbebe wake ha ha ha mbebe anasubiri kumpokea airpor ila show za sahv popote yupo na zarinah lol
Yaani Wema anaungua moyoni acha tu.Ujue tusijidanganye hapa kua wema haumii...ni nani anayeweza kuvumilia maumivu haya?
Ila shoga nimewahi kupewa ubuyu wa kuaminika kua Diamond bado anampenda sana wema na haya yote anayafanya kumuumiza ili amrudie!
Maajabu haya.
 
Ivi natalia stella anafanya kazi gani Us??

Muulize mwenyewe.Mtu yupo USA anatongoza wanaume walio Tanzania,Uganda ,Kenya .USA huku mambo busy capitalist country hakuna mchezo hapa nchi ipo faster Kama train ya umeme wa Hali ya juu.

Ukiona mtu yupo mida yote Instagram ,tweeter,Facebook na Hapo sasa aende mitandao ya bongo .Maisha ni magumu sana America ata ukilipwa milion moja kwa mwezi bado kuna stress nchi hii.Hapa sio mchezo .america kuna mpaka death tax .Being in USA I cannot imagine kuishi maisha Kama ya Huyu Stella .

extremely stressful .
 
Jamani mbona hamuweki hizo screen shots nyingine? Khaaa.Mtujuze kinachoendelea.
Wapi missstrong geniveros?
 
Last edited by a moderator:
ila sijui kwanini mi chaggabarbie namuonaga ka kahaba fulani!.. uyo Zari angalau alipata muda wa kutimiza uanamke Stella Tillya loh...hapana kwakweli
Iv uyo chaggabarbie ana fanya shughuli gan maana me cmwelewiii......
 
Back
Top Bottom