Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wagawaji tu.....
Zari ni unsummit na chagga ni un summit vilevile....bahati mbaya tu chagga hata makaratasi hana
Na zari bila ivan ni zeeeeeeeerooooooooo juzi kwenda nairobi tu ilibidi adokoe kwenye akaunti ya watoto
Mi nashindwa kuelewa hawawezi kua na ivan mpaka wamchokonoe zari,zari keshatukanwa mnoo lakini anakaaga kimya leo kaamua sasa housegirl toka Usa heheeee
Na Citizen alisema kua yeye na ivan washaachana ila huwasiliana mara chache kwaajili ya watoto,sasa tatizo wapii,huyo chaga na makaratasi hana akaege huko huko kazi kusaka mabwana kwa nguvu,zari leo kanikomeshea mbwaaa aisee nimecheka mpaka bassi warumi wahi huku
mama mbunge ndo nani tena
zari's jewelry haiuzi au??na yale maduka ya nguo??mmh labda
Wanawake sisi tupoje.Huyu Stella tillya nae kwa wanaume wa watu.Get a job Stella wanaume sio wakuwachezea
leo uchokozi wake umemtokea puani...zari huwa hajibu jibu ila siku akiamua kujibu mweh yani kama karusha bomu lol
Uwiiiii! Uwiiiiii! Haya mahaba ya Diamond kwa Zari tu ndipo hua ninapompendea.The guy knows exactly how to take care of his 'wife'...Huyu sijui Chaggabebi huwa namuona ni kituko tuu ...wanamchokoza sana mwenzao. Lakini Diamond amekuwa nafuraha sana akiwa na huyu mdada ..
Wema😉😉😉
wanadanganywa na muke ya mzungu eti soon zari atakosa hela ya saloon ha ha ha dua la kukuZari ana pesa buanaaa utawaweza team upepo
af ana maksudi huyu kijana mbona enzi hizo alikua hasafiri na mbebe wake ha ha ha mbebe anasubiri kumpokea airpor ila show za sahv popote yupo na zarinah lolUwiiiii! Uwiiiiii! Haya mahaba ya Diamond kwa Zari tu ndipo hua ninapompendea.The guy knows exactly how to take care of his 'wife'...
Sijui wema anajisikia vipi akiona haya mapicha.Kiukweli ningekua mimi ningeumia sana!
Hahahaaa, unadhani kuna atakayekusikiliza mwaya? Halafu huyo chagga si mkristo jamani? Na kwaresma yote hii?Wanawake sisi tupoje.Huyu Stella tillya nae kwa wanaume wa watu.Get a job Stella wanaume sio wakuwachezea.wanaume wanatumia akili wakipenda na wanawake hata hatueleweki .Utapata shida duniani wewe mtoto usipojieshimu na kutunza mwili wako ( your body is the temple of God remember that ) Mungu kakupa kila kitu ila your insulting God kwa kuutumia mwili wako Kama kitega uchumi.Mungu ni Mkali kwelikweli kwenye mambo ya sex .Sex ni kitu very spiritual na unafanya mchezo .Haya
Ivi natalia stella anafanya kazi gani Us??
Yaani Wema anaungua moyoni acha tu.Ujue tusijidanganye hapa kua wema haumii...ni nani anayeweza kuvumilia maumivu haya?af ana maksudi huyu kijana mbona enzi hizo alikua hasafiri na mbebe wake ha ha ha mbebe anasubiri kumpokea airpor ila show za sahv popote yupo na zarinah lol
Ivi natalia stella anafanya kazi gani Us??
Wote wagawaji tu.....
Zari ni unsummit na chagga ni un summit vilevile....bahati mbaya tu chagga hata makaratasi hana
Na zari bila ivan ni zeeeeeeeerooooooooo juzi kwenda nairobi tu ilibidi adokoe kwenye akaunti ya watoto
Zari anatafuta pesa mwenyewe YULE hiyo ndio tofautiwanadanganywa na muke ya mzungu eti soon zari atakosa hela ya saloon ha ha ha dua la kuku
Iv uyo chaggabarbie ana fanya shughuli gan maana me cmwelewiii......ila sijui kwanini mi chaggabarbie namuonaga ka kahaba fulani!.. uyo Zari angalau alipata muda wa kutimiza uanamke Stella Tillya loh...hapana kwakweli