Hivi huyu mange huwa anajua kila kitu? Huwa nashindwa kumuelewa kabisa hamna kitakachofanyika asikosoe.
Eee, kila kitu, afya, biashara, mavazi na fashion, mapenzi na ndoa, malezi, mziki, sayansi, teknolojia, wahalifu, malaya, matusi, vizuri, vibaya....infact yeye ni expert.
Zari kavishwa pete ya thamanii
Habari ya mjini klyn cc Heaven on Earth
chezea kitu cha Mauritius mie mwenyewe natafuta mzee wa kunilea
Shoga hizi k zetu zina nyota ya nini vile!???maana sielewiiii hhhaa huyo mzee kama Mengi utampata wapiiiii!!!!
hahaaaaaaaa Mzee kama Mengi wala huoni uzee wake..........
mi kila siku nauliza wanapaatikana wapi haooooooooooooooo
Simchukii mtu lakini namkubali sana Zari ...
Jamani nimekuja huku kutafuta newz flani amazing ila sizioni,jamani wapi picha za harusi za mr machachw na Jack?
Nimekumisss aiseeee
Tunazisubiri,nasikia wamefungia ndoa huko coz machache hapa bongo haruhusiwi kufunga ndoa ya kanisa kwani ashafunga ma hajampaga talaka mkewe wa kwanzaa
Ila kama kafunga ndoa .Ukweli bado hiyo ndoa ni void,sema kwa vile kule hawajui kama kaoa.Kazi ipo halafu mke mkubwa ni mmachame,nasikia anaogopa kumpa talaka maana mali itakuwa pasu kwa pasuTunazisubiri,nasikia wamefungia ndoa huko coz machache hapa bongo haruhusiwi kufunga ndoa ya kanisa kwani ashafunga ma hajampaga talaka mkewe wa kwanzaa
Ila kama kafunga ndoa .Ukweli bado hiyo ndoa ni void,sema kwa vile kule hawajui kama kaoa.Kazi ipo halafu mke mkubwa ni mmachame,nasikia anaogopa kumpa talaka maana mali itakuwa pasu kwa pasu
duh jaky kajilipua
Kajilipua kwenye umaana