Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Ila kama kafunga ndoa .Ukweli bado hiyo ndoa ni void,sema kwa vile kule hawajui kama kaoa.Kazi ipo halafu mke mkubwa ni mmachame,nasikia anaogopa kumpa talaka maana mali itakuwa pasu kwa pasu

Ndoa ni void kwa mujibu wa nani?
 
Muswada wa cybercrime act unasomwa kesho pale Dom

Heshima itarudi tu kwenye social networks
 
Muswada wa cybercrime act unasomwa kesho pale Dom

Heshima itarudi tu kwenye social networks

Nilidhani una focus zaidi kwenye wizi wa mitandaoni...kumbe hata upuuzi wa teams sijui nini...basi polisi watakuwa na kazi ya ziada...maana walizonazo tu zinawashinda wanawaongezea nyingine kwa matatizo ambayo watu wanajitakia...
 
kazi yake kutoa maoni tu kwenye maisha ya watu wakati ye mwenyewe anahitaji maoni shwain zake na miguu yake kama misokoto ya bangi

Ha haaa Bora umeliona hilo yeye kutwa kujifanya anajua nani kakosea wapi na kapatia wapi. Anaboa.
 
kazi yake kutoa maoni tu kwenye maisha ya watu wakati ye mwenyewe anahitaji maoni shwain zake na miguu yake kama misokoto ya bangi

Mhhhh mnazidisha sasa kwani sisi huku ndani tunaongelea juu ya nini kama si Maisha ya watu ? Yanatuhusu ? Walau yeye Blogger anatafuta habari , sisi hapa si udakuz tu wa Maisha ya wengine , ama kweli Nyani haoni Kundule :confused3:
 
Back
Top Bottom