Kajilipua kwenye umaana
Ila kama kafunga ndoa .Ukweli bado hiyo ndoa ni void,sema kwa vile kule hawajui kama kaoa.Kazi ipo halafu mke mkubwa ni mmachame,nasikia anaogopa kumpa talaka maana mali itakuwa pasu kwa pasu
Muswada wa cybercrime act unasomwa kesho pale Dom
Heshima itarudi tu kwenye social networks
Nakwambiiiiia, yani ungekua shoga yake ungekua kisiwani saa iz ww na msukuma wako.
Ngoja na mie azichange hahhhhhhaaa
best nimeona mama kylinn anavyojibusti busti
bibi anafaidiiiiiiiii!!!
Weka basi mapicha hata simjui lo chezea mkwilima Mengi
simu yangu haiscreenshot best mama kyln anavunja hatariii
Duuuuuuuu
kazi yake kutoa maoni tu kwenye maisha ya watu wakati ye mwenyewe anahitaji maoni shwain zake na miguu yake kama misokoto ya bangiHivi huyu mange huwa anajua kila kitu? Huwa nashindwa kumuelewa kabisa hamna kitakachofanyika asikosoe.
kazi yake kutoa maoni tu kwenye maisha ya watu wakati ye mwenyewe anahitaji maoni shwain zake na miguu yake kama misokoto ya bangi
kazi yake kutoa maoni tu kwenye maisha ya watu wakati ye mwenyewe anahitaji maoni shwain zake na miguu yake kama misokoto ya bangi
Nyasamaki nimekumic
kazi yake kutoa maoni tu kwenye maisha ya watu wakati ye mwenyewe anahitaji maoni shwain zake na miguu yake kama misokoto ya bangi
hhhuahahaaaa km ndo yule kweli....!!
asieumba haumbui
hapo ndo muarabu!!angekua mweusi km mie hali ingekua teteee...!!!!Mwarabu etii hhhaa