SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,714
Wanafarijiana jamaniii! Uainambiiiie
Palipomshinda mwenzio nawe waingiaa looo
Anaposti nini huyo chagu maana mie alishanibloki kwa kumwambia anachukua picha online na kujifanya anapostiwa na ex-mume.
Bado anamtafuta Zari?
haya wapenda umbea..
Chagga ndo kama hivyo profile picture ivan.. dinazarde badili tabia warumi heaven on earth miss strong
Anaposti nini huyo chagu maana mie alishanibloki kwa kumwambia anachukua picha online na kujifanya anapostiwa na ex-mume.
Bado anamtafuta Zari?
Nimeona kaweka mdomo tu sasa yaan pamoja na kukaa Us kakosa wa kumuoa lollll,angejijuaàa angejikalia tu kimya maana zari wala hana habari
Hivi ndoa ya insta kati ya chaga barbie na Ivan inaendeleaje?
ilishakufa "natural death"
Mbio za sakafuni huishia ukingoni.
Nakumbuka alivoenda studio kupiga picha na Cake, alijipamba kama mdoli.
Ha ha ha hadi nshasahau kama walishawahi tokea, naona hadi jina likabadilishwaHivi ndoa ya insta kati ya chaga barbie na Ivan inaendeleaje?
Ha ha ha hadi nshasahau kama walishawahi tokea, naona hadi jina likabadilishwa
"chaggaempress"
Ndo alianza na muke ya mganda naona akaona Ivan hana time akachange huu ni wehuMara muke ya Muganda!
Ndo alianza na muke ya mganda naona akaona Ivan hana time akachange huu ni wehu
mtu hata hawajaonana akajiita mke lol
ivan hana hata time na wanawake sijui tuhuma za insta ni za kweli