mweh mbona sijaona hiyo inapatikana wapi
Nenda fb kwenye page ya zari
Mi siko fb lo tuwekeen hapa
Ukipata namba ake nigee nijiite "muke ya don"
Kumbe uko hukuuuu basi sawa
eve yaani mwenzio mshamba hata jinsi ya ku sreenshot cwezi
Jamani tumreport chagga afungiwe
ulikua unanitafuta wapi kwani
Halafu kapanick huyo maana kaandika broken English
ila zari ana moyo sana,yaani video imevuja anajito....be....sha na ana ubavu wa kujibu,..kavumilia sana bhana kumtusi naona wanajichoresha tu,mtu kajitombomsha live sasa nini kipya ya kumwaibisha/
aagh alimtukana Mange alipotaka kurushiwa picha za uc.hi akiwa anadoiwa akasarenda mwenyewe..so chaga hana jipya ni wivu tu umemjaaaaaa. hafanyi kazi anamtukana Zari ili amfurahishe ex-mume ajaribu kupata pesa. ila Zari kashapitia mengi na wanawake wa ex. sio jipya
hata kwa prezzo alisema mume atamuoa...lol
Yaan huyo chaga hajapata kiboko yake,,mange ni kiboko yakee