Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Hahahahahahahaha Warumi umenichekesha mpaka basi kwa hiyo ndugu, jamaa na marafiki wanakuogopa kama ukoma? Umbea mtamu

Wanitenge tu mwenzangu umbea mtamu binamu, kuacha itakuwa ngumu
 
Hahahhahah Leo instagram panachekesha! Hizi team buana! Team kajala wote ni team Zari, Team wema wote wamehamia kwa stela. Team wema wamefurahije sasa! Ila hilo dongo la Zari lol! !!!!
 
Hahahahahahaha ngoja tuone mwisho wake kama hajabadilisha jina mke wakati hata kuonana na Ivan hawajaonana hana ubavu wa kwenda South Africa maana hana makaratasi

heee kumbeee😱😱😱
au ndo skype na kudoo?!!!
 
Hahahah chagga dish lake litakuwa limeyumba.....

Kila kibwana anakipachika IG.....kama mtoto wa praimare



Ivan hana maneno mengi sana na hawezi show atamuachia King aisimamie....
Uwiiii natamani sana itokee!!!
ila chagga hajistukii yeye kila danga akilipata analiweka ig na kujiita mke baada ya mda mfupi anaachika.
Hata kwa don ivan nahisi kajitongozesha jamani.
He he kama namuona Mange hiyo siku ikifika atakapochamba mpare yule.
Chagga ushazeeka dadangu sura hiyo mashavu ya juu yashachuma mboga sijui huko chini mhhhh..eti muke ya mganda jamani!!!
 
Ila anatoka nae IG tu hahahahah


Huyo chagga alikuwa anatamani watu tujue anatoka na Ivan, bwana mdogo hataki watu wajue katafuta ugomvi ili tujue anatoka na bwana mdogo

Hatujaona hata pic moja Ivan kwenda USA ili kusoendi na chaggabibi(maana chagga makaratasi hana)

Chagga kwel sio mzima
 
Kwa figisufigisu na ubuyu wa hali ya juu siwawezi , mhhh Warumi hili dili la kuandamana kumshinikiza Mkuu agombee vipi ? kama tujikusanye huku ndani twende nasikia kila andamano ni M5 ! tufanye yetu wakati tunasubiri Kamjomba toka kwa Zari
 
He he he IG pamotooooooo yaani chagga povu linamtoka kaamua kuandika mchambo full broken na kamtag Zari juu daah ngachoka mie binti wakichaga unaishi majuu lakini amekuwa zaidi ya mzaramo watandale
 
Nasubiri Le tamkoz kutoka kwa muke ya muzungu (Mange kimambi) maana wote haziivi.

yule mpare nae kiazi tu na.mgongo wake kama.meza anajifanya kumjua zari eti zari ataishiwa hadi hela ya saloon wakati kenyewe kanavaa malapa toauti
 
Nasikia eti daimond kapigwa risasi cc@evelyn salt wachawi mshawanga tayariii looo
 
Back
Top Bottom