Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Hahahaaaaa yani huyu stela kichambo cha u house maid ndo kimemtibua hivi! ! Ana roho ndogo sana. Eti naye anamuita zari pussy seller! !! Si kwa tabia yake😂😂😂😂😂. LMAO. Eti stela nae kawa decent kuita wenzie malaya, kituko gani hichi! !

ha ha ha kuitwa maid tu kavurugika hawezi hata kustahimili matusi kumbe,basi ajifunze kufunga domo
 
Ngoja aachwe na Ivan maana anaona kama kaolewa tayari wakati hata kuonana na huyo Ivan hawajaonana kajitongozesha mpaka kaonekana

Wanaishia tu kujitongozesha Ivan hata sijui kama anawadonoa wanjera mwenyewe kajaribu sahivi katulia zake
 
Hii vita bora imeisha jioni hii..ilifikia pabaya. Chaggabarbie karusha mapicha ya Zari na wanaume tofauti naona anapewa na huyo Ivandon. Simwelewi huyo Ivandon why katoa hizi picha hadi picha yao ya engagement mweeee anyway zimeshatolewa saivi but i had screenshot.a.few......

Nyie wanawake wakati mwingine nashindwa kabisa kuwaelewa! Hivi na wanaume tuko namna hii? mnanyangayana mabwana mnakuja kuvuana nguo kwenye mitandao? Hivi wanaume na sisi tukichukuliana mabibi na sisi tunakuja kufanya kitu ya aina? au inwezekana naishi kwenye ulimwengu wa tofauti au nimepotea universe? huu ni ujinga wa hali ya juu.

Huyu chagga..... ana wazazi na ndugu kweli? Huyu Zarinah watoto wake wakikua watajisikiaje kwenye jamii? Tunaua watoto wetu hata kabla hawajazaliwa. Hebu kuweni na heshima maana nyote anayetukana na anayetukanwa wote ni takataka. ujinga mtupu
 
Anajifanya innocent wakati mfyyyuuuuuu
 

Attachments

  • 1427433465416.jpg
    1427433465416.jpg
    83 KB · Views: 523
Nyengine tena.......atochelewa kusema Ivan ana kibamia kama kwa prezoo wakati yeye anarambo.....Huyu chaggabibi safari hii kaingia pabaya
 

Attachments

  • 1427433601758.jpg
    1427433601758.jpg
    80.9 KB · Views: 429
Zari ana uzungu flan uswahili hauwezi hii show angepaswa kumpa access mdogo ake Zulekha yule namuaminia anajua kusimamia show vizuri.....ila all in all ampuuzie tu uyu chaggabibi toto la tandale
 

Attachments

  • 1427433908429.jpg
    1427433908429.jpg
    58.4 KB · Views: 470
Alaf aliweka picha chafu nyingi za zari ukweli ni kwamba alipewa izo picha na Lawrence sio Ivan ila nilichelewa ku screen shot nadhan kwaleo izo zayosha ama neeeeeeeene
 
chige

Point of correction, mimba sio ya diamond, ni ya katunzi, habar ndo hyo
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhhh ya Katunzi hebu nieleweshe vizuri mmbea mwenzangu

NDio nimeamka apa nakwambia sura limevimba ata mswaki sijapiga nimekimbilia umbea, ntkupa info ngoja niendelee kupekenyua kuhusu huyo mtuhumiwa katunzi
 
NDio nimeamka apa nakwambia sura limevimba ata mswaki sijapiga nimekimbilia umbea, ntkupa info ngoja niendelee kupekenyua kuhusu huyo mtuhumiwa katunzi

huyu mtuhumiwa nae ni Mganda.????
 
NDio nimeamka apa nakwambia sura limevimba ata mswaki sijapiga nimekimbilia umbea, ntkupa info ngoja niendelee kupekenyua kuhusu huyo mtuhumiwa katunzi

hahaaaaaaaa poa Binamu...... mie hapa kazi hazifanyiki tena
nasubiria umbea wa Katunzi tu
 
Back
Top Bottom