Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

Umasikini wetu tu ndio hupelekea kukataa watoto wa kambo kama mpunga upo mambo huwa sawa
 

Umemtaja MUNGU mara sita(6) kwenye comment yako ila umesahau hao jamaa ni WAZINZI tu sasa sijui wazinzi tunaunganishwa na nani kwenye dhambi yetu pendwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati ni rasilimali ambayo kila kiumbe kimepewa bure kabisa kulingana na mazingira yake katika kupambana na changamoto zake.....

Tunapozitumia nyakati vyema katika mambo yenye faida au kujenga maisha yetu....tunakuwa tumewekeza kwenye jambo la maana na lenye kutufaa maishani mwetu......tunapozitumia nyakati zetu vibaya kwa kufanya mambo yasiyo na manufaa kwetu kwa kuzifurahisha nafsi....basi tunakuwa tumepata hasara ambayo kamwe hatutaweza kuifidia.....

Wapo watu ambao walizichezea nyakati zao....na sasa wapo kwenye majuto makuu maishani mwao kila dakika ya mshale wa saa....huku wakiwa hawana la kufanya....

Na pia wapo kuna watu waliowahi kutambua hili mapema na kutumia vyema nyakati zao na leo wanayafurahia maisha yao kila dakika ya mshale wa saa

Kwanini wewe uwe miongoni mwa wenye kujuta kwa kuutumia wakati wako vibaya kwa kufanya au kujishughulisha na mambo yasiyo na msingi maishani mwako....!!??

Kama wazazi wako wasingeutumia wakati wao vyema kukusimamia wewe hadi kufikia hapo ulipo( ambapo wewe unaona ndio mwisho) wewe bila shaka usingefika hapo......kwanini wewe usitumie wakati wako kusimamia mambo yako ya msingi kwa faida ya uzao wako....!??

THINK BIG TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
 
dah!! mlokole mwenzangu leo umenifurahsha sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mungu akutangulie Zari.hao watoto bado wadogo.bado wanaitaji mapenzi ya mama.pambana.hakuna kama mama.
 
Acheni maneno Diamond hawez kulea hao watoto, na wala hawahitaji hata senti ya Domo, pesa ya baba yao ipo ya kutosha, hata ule upendo wa baba hawezi kuupata kwa Domo, ye mwenyewe haelewi mapenz ya baba yakoje, halafu ni lini mtaelewa kuwa Zari na diamond sio mke na mme hawana ndoa, ni mtu na mzazi mwenzie
 
Kwenye familia za kimasikini.ungesikia kelele.
Maana zina thamini kula kuliko kitu chochote.
 
Tupo wengi nimeangali hii kideo nikapata uchungu maskini Diamond atakuwa kama mgeni katika familia hii. Mwisho hawa vijana wakikua watamtandika Diamond. Aidha Diamond bado kijana mdogo kukurupushana na familia hii kubwa lazima awe anapumua nje jamani. Its unfair kwake ila afanye nini. Kila siku nasema kijana usioe mwanamke mwenye mtoto huyu ni mibaba mitatu!
 
Diamond ana shida gani watoto baba yao kawaachia mahela mpaka wanaumwa?
Hela si kitu hebu nieleze kama walivyokuwa wamekaa sebuleni na yeye anakuwa mmoja wao! Inabidi ajifungie chumbani na vitoto vyake tu
 
Tatizo lugha baba tuonee huruma.
 
Kwakweli me hata sijui kwanini watu wengi wanawafikiria vibaya watoto wa zari namna hiyo. Kwani wao ndio mara ya kwanza kukaa nao pamoja? Tunawa hukumu kwani huko na familia zetu tunaishije?maana tunahukumu wakati hatujui wenyewe wanaishije. Tusihukumu tusilo lijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…