Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

Kijana huyu amejiingiza kwenye mgogoro mzito atakata viuno mpaka bolt zilegee jukwaani
 
Kuna uzi ulianzishwa humu kuwa walokole wana roho mbaya sana.Naendelea kuamin kuw ni kwel
 
Amina na wewe nakuombea kwa mwenyezi mungu uoe mwanamke mwenye watoto watatu wa kiume wakue wakudunde ili ukumbuke shuka wakati kunakucha
Hahahahaa mkuu usinichekeshee.mi nishaoa muda sana kaka. Pia inategemea ningekua sijaoa na napata mwanamke mwenye watoto ningeweza kuishi nae tu .si unajua utamu wa pipi mate yako mkuu.
 
Allah ndiye huwa anampangia Mungu cha kufanya au huyo allah kawa Mungu tangu lini? Thibitisha!

Sinatatizo na familia ya Nassibu na mke wake. Kafanya vyema sana.

 
Hii ndio roho halisi ya kilokole...
Mtu akijiita mlokole, mapambio mengi, bwana asifiwe nyingi ndo hizi roho zao.
 
Kuna uzi ulianzishwa humu kuwa walokole wana roho mbaya sana.Naendelea kuamin kuw ni kwel
Hawa watu nimewahi kukaa nao miezi sita nilihisi nimezungukwa na wasaidizi Wa Lucifer asikwambie mtu walokole wana roho mbaya sijapata kuona,nazani na maisha wanayopitia yanachangia..
 
Umemjibu vizuri sana mkuu,watu wa hivi vijiji wanavyotokea huwa balaa! Jibu zuri safi sana
 
Tatizo kuzaa bila ndoa
 
We ndo wale walokole feki
 
Yeah, kama ilivyokuwa kwa Ivan! Ni vizuri sote kuombeana mema lakini katika uhalisia wetu kiongozi.
 
Wewe unaishi kibiti?
 
Izo pombe Unazokunywag alfu unakuja Kuandika pumba zako uku ukomee.....
Nyie ndo Mnanyimwag watoto mnabaki kuhangaika kwa waganga.siajabu kwa io roho mbaya yako nawe ni mtto wa dawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…