huwa siwaamini hawa watu ni wanafiki na wana roho ya kutu sana wanao jiita walkole...Hii ndio roho halisi ya kilokole...
Mtu akijiita mlokole, mapambio mengi, bwana asifiwe nyingi ndo hizi roho zao.
Kwanini usinioneshe pa kukojolea ewe ustaadhat?Embu kakojoe ukalale huko kila siku fyoko fyoko za imani tu amini unacho amini niamini ninacho amini kila mtu na hamsini zake kama unachoamini kinajitosheleza usitake kujua cha kwangu mana hakitosaidia ata ukijua tabia mbaya tu na chuki za kipumbavu kachukue vitabu ujisomee mwenyew
Na utakuta wanaume wanaoshupaza shingo hapa wana msululu wa watoto utadhani bata na kila mmoja ana mama yake......huwa siwaamini hawa watu ni wanafiki na wana roho ya kutu sana wanao jiita walkole...
Lakini kinacho nishangaza zaidi kwenye huu uzi ni wanaume kumuone wivu Zari ya mtu ameshupaza shingo as if Diamond atawabeba mgongoni au atalazimika kuwasomesha.
Ukitaka kujua watanzania wengi tuna roho za kutu ndio maana watoto wa mitaani hawaishi soma huu uzi..