Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

Ila maulana anajua kugawa rikizi, hizi ni sadaka kwa mola, ukiwa na roho mbaya hauwezi fanikiwa maishani,
 
Hii ndio roho halisi ya kilokole...
Mtu akijiita mlokole, mapambio mengi, bwana asifiwe nyingi ndo hizi roho zao.
huwa siwaamini hawa watu ni wanafiki na wana roho ya kutu sana wanao jiita walkole...
Lakini kinacho nishangaza zaidi kwenye huu uzi ni wanaume kumuone wivu Zari ya mtu ameshupaza shingo as if Diamond atawabeba mgongoni au atalazimika kuwasomesha.
Ukitaka kujua watanzania wengi tuna roho za kutu ndio maana watoto wa mitaani hawaishi soma huu uzi..
 
Embu kakojoe ukalale huko kila siku fyoko fyoko za imani tu amini unacho amini niamini ninacho amini kila mtu na hamsini zake kama unachoamini kinajitosheleza usitake kujua cha kwangu mana hakitosaidia ata ukijua tabia mbaya tu na chuki za kipumbavu kachukue vitabu ujisomee mwenyew
Kwanini usinioneshe pa kukojolea ewe ustaadhat?
 
huwa siwaamini hawa watu ni wanafiki na wana roho ya kutu sana wanao jiita walkole...
Lakini kinacho nishangaza zaidi kwenye huu uzi ni wanaume kumuone wivu Zari ya mtu ameshupaza shingo as if Diamond atawabeba mgongoni au atalazimika kuwasomesha.
Ukitaka kujua watanzania wengi tuna roho za kutu ndio maana watoto wa mitaani hawaishi soma huu uzi..
Na utakuta wanaume wanaoshupaza shingo hapa wana msululu wa watoto utadhani bata na kila mmoja ana mama yake......
 
Back
Top Bottom