Zari utamkumbuka Ivan the Don maisha yako yote!

Haiwezekani awe the best kwa tabia labla kwa kudanga kwa wenye nazo
 
Mkuu tofautisha madhara ya kukanya mavi au mkojo na kula mavi au mkojo!So kuruka mkojo na kukanyaga mavi unakuwa umetoka kwenye hali nafuu na kwenda kwenye hali mbaya!
Kama unabisha,weka hapo kinyesi na mkojo wa binadamu!Halafu piga raba kali,halafu chagua ukanyage juu ya kipi halafu uendelee na safari yako!
 
Watu ya kwao yanawashinda wanayafuatilia ya zari na diamond hapo ndio utajua nan ana mtindio wa ubongo wakati ndoa na mahusiano yao yanawashinda
 
Amalizaye ndio anaonekanaga mkorofi.
Licha ya yote hujui historia ya Ivan na Zari. Zari aliachana na Ivan siku nyingi na kilichomkimbiza ni vipigo vya mara kwa mara plus kucheat. Ukiingia youtube utakuta videos akiongelea hiyo issue.

Kabla ya diamond alishadate na wanaume wengine so usifikirie kua Zari alitoka kwa Ivan na kwenda kwa diamond.

Mange kamuandama sana zari na magazeti yake. Na hua anamuandama mara kibao sio leo tu. Halafu nenda tena youtube kaangalie ile nyumba wakati diamond kaenda sauz na kuirusha youtube nyumba ilikua chafu chafu tu fananisha na ilivyo sasa. Zari kaibadilisha ile nyumba kuanzia tiles na kila kitu. Hatujui makubaliano ya ununuzi wa hiyo nyumba kwanini jasho litutoke.

Ungeanza kumsema mange naye ana watoto tena mmoja ni mkubwa kabisa kabla hujaenda kwa zari ungekua upo fair.
 
Bibie alitafuta a man who is sexy and fluent in English, Ivan na pesa zake zote lakini hakuwa na shule, alikuwa mnene na tumbo. Kitu ambacho wanawake hatujui ni kuwa, mwanaume anaekuenzi muenzi, utaishi kama malkia. Kwa Ivan Zari was his Queen.
Wewe ni mwanamke sana mkuu, I admire you
 
Hahahaa.. Nimecheka! Halafu piga raba kali halafu uendelee na safari!!
 
Being the best is subjective. inawezekana kwa mshana huyo mama ni the best while kwa wengine ni the worst
 
Hawa viumbe Zari na Diamond wasipo kuwa makini watatoleana siri za ndani zaidi yule mwanamke amepaniki sijui kwa nini au hili jambo ni kweli alisaliti
Naomba kufahamu , hivi tangu Diamond aongeee kwenye radio yake ule usiku, amewahi tena kusema chochote juu ya haya mambo ?
 
Nina wasi wasi mkuu, inavyoonekana huko sirini wameshindwa kujiongoza binafsi..
Hawa viumbe Zari na Diamond wasipo kuwa makini watatoleana siri za ndani zaidi yule mwanamke amepaniki sijui kwa nini au hili jambo ni kweli alisaliti
 
Watu ya kwao yanawashinda wanayafuatilia ya zari na diamond hapo ndio utajua nan ana mtindio wa ubongo wakati ndoa na mahusiano yao yanawashinda
Mkuu
mbona unaongea maneno ya kuchoma kama pasi kiasi hicho. Tuonee huruma basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…