Me sikukusudia kumcompare Diamond na mavi au Ivan na mkojo, point yangu ilikuwa hii, uliposema Zari karuka mkojo akakanyaga mavi, nilielewa hivi kwamba Zari kaacha madhara kidogo (Mkojo=kero alizokimbia kwa Ivan) kafata madhara makubwa (Mavi=Kashfa anazozipata sasa hivi kwa Diamond). Huo ndio ulikuwa uelewa wangu, hivyo basi nilichotaka kurekebisha au kukiweka sawa kwenye huo msemo ni kwamba pahala ulipotumia neno mkojo ungetumia mavi vivyo hivyo kinyume chake! Kwa sababu (Kwa namna nilivyo ielewa hiyo kauli yako) madhara ya mkojo ni makubwa sana kuliko mavi, ndio maana nikasema kiafya ni bora ule mavi kuliko kunywa mkojo!!