Zari white party

Zari white party

...........ndio maana rais anaamua akajipumzikie huko nje ya nchi kila mara...sasa unadhani wananchi wako kama hawa utadiscuss nao nini cha maana...zaidi ya umbea...tu??

Hata mimi saa zingine huwa najiuliza hivi hii ni celebrity forum au umbeya forum maana daah
 
Umeanza vibaya ktk uchambuz wako coz wanaume aliotoka nao Zari hadi kifikia umri wake n wachache kulinganisha na wasichana wengi Duniani ie Wema, Lulu na hata demu wako.
Bt umemaliza vizur iliposema tumuache dai ale vyake coz wanaume wachache sana wanaweza kuacha utamu even if they are married. Bravo

Nafiki hukunisoma kwa makini ukadhani nimeandika udaku bila kufanya uchunguzi, ila niliandika kuwa ukifuatilia background yake iliyoripotiwaa kwenye magazeti mbalimbali ya Uganda; siyo maoni yangu. Inawezekana kuwa ni kweli wanaume aliotembea nao siyo wengi kama wasichana wengi wa kwetu, lakini bado kuna dosari kuwa wengi wao humpitia mara moja bila kumrudia. Kama hujui, Zari alikuwa msichana wa kawaida tu kabla hajakutana na huyo mme wake Ivan mwaka 2000. Aliwekwa ndani na mme wake huyo kwa miaka kumi na moja bila wazazi wake kujua, akazaa naye watoto watatu. Mme huyo alimsomesha mambo ya urembo huko London na kumwanzishia biashara zote zilizompa utajiri tunajua leo. Kwa hiyo endapo unahesabu idadi ya wanaume na umri wake, unatakiwa uchukue miaka 19 kabla hajaweka ndani, na miaka miwili aliyoachana na mme wake kwani wakati wa ndoa alitakiwa awe na mwanamme mmoja tu. Lakini muda wote wa ndoa, bado Zari alikuwa pia akichepuka nje na wanaume wengine mara kwa mara kwa hadi ndugu zake wanajua hilo. Mwaka 2011 ndipo Zari alipomtambulisha rasmi mme wake huyo kwa wazazi wake na kuhalilisha ndoa yao wakati utajiri wao umeshakua mkubwa sana. Baada ya utambulisho rasmi wa mme, ndugu zake walimkanya aache tabia ya kutoka na wanaume wa nje hovyo hovyo lakini akawalalamikia kuwa ingawa mme wake alikuwa anampenda, lakini alikuwa hafanyi naye mapenzi sana hivyo akawa na kiu ya kimapenzi ndiyo maana akawa anatoka na wanaume nje pamoja na kutumia dildos mbalimbali- alisema zaidi ya 50. Tabia hiyo ya kutoka na wanaume wa nje ilipojulikana kwa mme wake ndipo uhusiano wao ulipoanza kuharibika. List kamili ya wanaume waliotembea na Zari ni kubwa zaidi ya 13 unaowasikia; kuna waSouth Afrika kadhaa, Waganda lukuki, Wakenya kadhaa, Msomali mmoja, Wanaigeria kadhaa, na sasa Watanzania wawili. Fanya utafiti vizuri kwenye magazeti mbalimbali ya Uganda hasa utafute yale ya kuanzia mwaka 2010 ndipo upate ripoti kamili. Swali nililokuwa nimejiuliza ni hilo la wanaume kumpitia na kumwacha mara moja, na hata mme wake Ivan alikuwa hafanyi naye mapenzi sana. Nikahitimisha kuwa labda hajampata mwanamme wa kumjali na hivyo kusababishia stress sana, ndiyo maana amekuwa akijaribu huku na kule na huenda sasa akatulizana na Diamond.
 
All in all, Mapenzi ni ya wawili wengine ni wamwaga Sumu kwa sababu tuzijuazo au mapambe kwa ushabiki, tuelewe Kuwa MLA NI MLA LEO MLA JANA KALA NINI?
Mwisho kabisa kwila mmoja ndani ya nafsiyake Anajua ukwale wake ambao analifanya na anafanya mpaka sasa lakini hawezi sema hapa licha yakuponda wengine.
 
Sasa nyieee mnalalama mlitaka mchkuliwe nyie,mbona nyie ya kwenu mnafanya mnakofanyia na hatuwesemiiiii aaahahaa au huyu jamaa kosa kuziweka picha zake hadharan tena bora yeye anayekuwa na mmoja kwa wakti mmoja akiacha huyu anaenda kwa mwingne nyiee mnao zaid ya mmoja kwa wakat mmoja sem hamjulikan tu....ebooo!!
 
Huyu kijana anaitaji elimu ya kujitambua.
Kwan binadamu mwenye kujitambua huwezi anzisha mahusiano ovyo ovyo ukizingatia n mtu maarufu
 
Nakuunga mkono mia kwa mia. Tena utakuta vinara wa kupiga kelele wao ndiyo wenye kubadili wapenzi wao kila mwezi
 
Van Vicker ni mume wa mtu na anawatoto. Wale mnaopenda bi wema aendrlee kutoka na waume za watu na mubaba mtalia.

Van vicker anajua kujitangazia biashara... Na ma selfie etc lazima movie iuze kwa sana bongo

Nimejisemea mie
 
Hv ndivyo mastaa wa bongo wanavyo ishi dah! Daimond naona unataka kulelewa sasa me nilijua ma miss tu wanapenda kitonga kumbe hadi ww
 
Umeanza vibaya ktk uchambuz wako coz wanaume aliotoka nao Zari hadi kifikia umri wake n wachache kulinganisha na wasichana wengi Duniani ie Wema, Lulu na hata demu wako.
Bt umemaliza vizur iliposema tumuache dai ale vyake coz wanaume wachache sana wanaweza kuacha utamu even if they are married. Bravo

Wewe ulinipinga bure, lakini kama umesoma magazeti ya Uganda leo, utagundua kuwa huenda Zari tayari keshachukuliwa na mmoja wa waliokuwa marafiki wa mme wake. Atakuwa kachukuliwa jana tarehe 21 akapelekwa Club Venom kuanza hiyo "Project" nyingine, nadhani huenda wakati bado bado akifanya project na Diamond ambaye inawezekana aliachwa hotelini wakati huo. Mme wa Zari inasemekana kafilisika sasa baada ya Zari kuondoka karibu na kila kitu kilichokuwa chao pamoja lakini kikiwa kimeandikwa kwa jina la Zari, na jamaa huyu aliyemchukua sasa ni tajiri zaidi yao. Kutokana na utajiri wao wa haraka haraka, jamaa hawa wamekuwa wanaandikwa sana kiasi kuwa kila stepu wanayofanya lazima itaripotiwa.

Angalia hapa https://www.facebook.com/photo.php?fbid=410320632455206
 
Nlishasema Bila Wema Uzi haunogi. Hapa mjadala ni sanda party Wema anaingiaje?
 
Oppssss nilikuwa busy na project ya Ghana nkasahau party ya 17tsh . By the way that place look very cheap and classless. No red carpet, cheap people and the like. U heard me now
Ila hata muzee wa show ya 1million alikuya kwa show ya17tsh....hivi watu wake aliwaacha na nani
nliona picha wamekaa kwenye madawati nkajua madenti wapo class kumbe ni ndani ya show ya 1m
 
Back
Top Bottom