Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...........ndio maana rais anaamua akajipumzikie huko nje ya nchi kila mara...sasa unadhani wananchi wako kama hawa utadiscuss nao nini cha maana...zaidi ya umbea...tu??
Dada anaonekana ni palatable. Acheni kijana apate kitu roho inapenda.
Umeanza vibaya ktk uchambuz wako coz wanaume aliotoka nao Zari hadi kifikia umri wake n wachache kulinganisha na wasichana wengi Duniani ie Wema, Lulu na hata demu wako.
Bt umemaliza vizur iliposema tumuache dai ale vyake coz wanaume wachache sana wanaweza kuacha utamu even if they are married. Bravo
BTW your perception is not my reality
Oooolaalaa...hahaha
Akanana Mrembo by Nature where are you?
Umeanza vibaya ktk uchambuz wako coz wanaume aliotoka nao Zari hadi kifikia umri wake n wachache kulinganisha na wasichana wengi Duniani ie Wema, Lulu na hata demu wako.
Bt umemaliza vizur iliposema tumuache dai ale vyake coz wanaume wachache sana wanaweza kuacha utamu even if they are married. Bravo
Ila hata muzee wa show ya 1million alikuya kwa show ya17tsh....hivi watu wake aliwaacha na naniOppssss nilikuwa busy na project ya Ghana nkasahau party ya 17tsh . By the way that place look very cheap and classless. No red carpet, cheap people and the like. U heard me now
jamani jamani jamaa anafaidi...daa...