Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Numbisa naweza pata wapi mianvuli kama hii?Inauma sana STUPID akiona picha hiziView attachment 1081448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa naweza pata wapi mianvuli kama hii?Inauma sana STUPID akiona picha hiziView attachment 1081448
Nilikwenda soko la ndizi nikakuta wakina mama wamepanga foleni ya kuosha watu miguu.😃😃kuna mitaa huwa napita,nawaonaga vijana wapo busy kazini kuosha miguu ya watoto wakali,nataka niifanye kama hobby lakini zeshchriss unanibania
Numbisa naweza pata wapi mianvuli kama hii?
Acha kujidanganya Tena Mambo anayofanya kisheria Diamond ndo hata ruhusiwa kabisa kukaaa na watoto Vielelezo vya diamond vyote vipo mtandaoniZari kwa sasa anaugua gonjwa baya sana,linaitwa POST RELATIONSHIP MENTAL DISORDER,Hamisa aligua hili akachomwa sindano kumi baada ya kupona mwenyewe alienda kufuta kesi ya matunzo
Zarina amekubali kupokea presha ya wafuasi wake,wanaotaka ajibu kumzidi Diamond,anajikuta hawezi kwa sababu hakujipanga kabla
Zari kwa sasa anaowaonesha wafuasi wake wanaume wawili tpfauti ndani ya wiki
Huyo king bae ameyayuka kwenye thin air,sasa hivi wanaoneshwa mwingine,hii inathibitisha kwamba Zari ni kicheche!
Kwenye kikao mwanaume akichepuka ataitwa mzinzi,lakini kwa Zari kututhibitishia kwamba ni kweli anaingiza.bwana kwenye matrimonial house,hii ni hatari kwake
Kisheria Diamond anaruhusiwa kabisa.na mahakama,kuchukua wanaye ,kwa sababu ushahidi upo,bibie analala na njemba zingine,hafai kua.mama bora haswa kwa binti yao Latifa.
Inauma sana STUPID akiona picha hiziView attachment 1081448
Kwa icon umeona leo? 😀😀😀
Insta naipata kupitia google huyo icon yupo private sijaona alichoandika
Ok
Nimeona Whatsapp kuna mtu timu yake ngoja nikurushie
Ila Video anamchamba Dada wa USA ndiyo imenifanya zaidi niamini hayupo normal... anaongea kama Binti wa Form 2 aliyebalehe... Eti napewa Maua... sijui blah blah... nikaona huyu amuna kitu... Utu usima ule na Watoto wakubwa vile maneno yote yale ya nini... kama siyo Stress.Kiukweli as a woman Zari anakosea hivi mwanamke anaejitambua anaweza ingiza hawara ndani kwake?tuacheni unaafiki tena una watoto wakubwaa?
Hivi wanawake tuna shida gani?kwanza kitendo chenyewe tu uchafu(uzinzi)unafanya hadharani mbele ya watoto?
Halafu nyumba umenunuliwa na mwanaume mwingine unaingiza mwanaume mbele ya watoto zako?wanakuona anakulala anaondoka daahh!
Sijawaza na sitafikia hukoo nimeapa wanangu hawatokaa wamjue hawara yangu hata akiwa na pesa unless anioe kabisaa ila sio kuzini tuu!
Wanaomtetea Zari anayoyafanya ni makahaba tu yasio na maadili!!!
Yeye ndo anajidhalilisha mama mtu mzima mwenye watoto kuna vitu hupaswi kuvifanya for the sake of the kids
Halafu Watanzania sisi nashangaa wanavyomshobokea huyu Mganda...Wabongo bwana kupenda kushoboka na watu wa nje!haijalishi analipa ada shillings million au billion I..ameliwa na diamond kazalishwa anatapatatapa daily!!
Jifunze kubalansi shoba we mtoto wa kiume!!!!
BTW ktk maisha yangu sijawahi kaa chumba kimoja sikumbuki Kwanzaa....!!!
Nnapokaa hujawahi hata kuomba maji!!!
Halafu Watanzania sisi nashangaa wanavyomshobokea huyu Mganda...
Hawaelewi kwa kua ni Zari akifanya mbongo yaleyale ataitwa kahabaKabisa.... Mama ukishakuwa na Watoto hata kama ni wadogo... kuna vitu huwezi kufanya kwa heshima yako na heshima ya watoto wako.
Kuna Wadada Watanzania wana Hela na Elimu kuliko huyo na wana Heshima kuliko huyo Mganda anayeongea Matusi kama Chizi Mgeni.Hatupendani tunachukiana watu wana chuki binafsi na diamond ndo wanamaliza hasira zao!!
Wao kama wanampenda zari wawape Kaka zao!!au wawaoe wao
Safi kabisa. Rusha tuone