Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Duh aiseee ila katanasha hakana shida daah kuna team Zari wana malove balaa sasa watagombana na vimada wa domo mpaka lini. Hastahili hizi attention kubwa
View attachment 1082490
View attachment 1082492
Baada ikaja
View attachment 1082494
View attachment 1082495
View attachment 1082496
Ikaishia hapa watu wanajiuliza kwamna amejuaje kaandikwa.. hadi kujibu hivyo n.k.
Wanasema hakuchelewa kujibu insta story
View attachment 1082498
Tucheke drama hizi tusizeeke.. 😀