View attachment 1082490
View attachment 1082492
Baada ikaja
View attachment 1082494
View attachment 1082495
View attachment 1082496
Ikaishia hapa watu wanajiuliza kwamna amejuaje kaandikwa.. hadi kujibu hivyo n.k.
Wanasema hakuchelewa kujibu insta story
View attachment 1082498
Tucheke drama hizi tusizeeke.. 😀
Duh aiseee ila katanasha hakana shida daah kuna team Zari wana malove balaa sasa watagombana na vimada wa domo mpaka lini. Hastahili hizi attention kubwa
Hapo amenaswa ana hack account za team Zari. Nae labda kapewa watu wa hivyo wamsaidie.. wana kazi haswa wote na uceleb
Ungesema bibi limechukuliwa...Nani aliyemuanza mwenzie? Apo Ndo utajua nani Ana stress na maisha ya mwenzie, domo Ana demu mpya, why anakazana na zari ?roho inamuuma Ndo bas Tena , toto lishachukuliwa na wenye wadhifa wao.
Unaweza kukuta wachangiaji wa hii maada 70% hawajanywa chai asubuhi