hii mpyaZari hajazaa na Diamond acha uzushi bana!
Hata kama haitibiki hastahili kuishi na maumivu. Kumpatia tiba ya kisasa kupunguza au kuondoa maumivu yake pia ni msaada mkubwa.Huyo rajabu nasikia anaumwa kansa hivi kansa inatibika kwel kwa hatua ambayo amefikia yy..mungu amsaidie kwakwel na sisi ambao wazima tushukuru mungu asitupe mitihan
Zari hajazaa na Diamond acha uzushi bana!
kwel kabisaHata kama haitibiki hastahili kuishi na maumivu. Kumpatia tiba ya kisasa kupunguza au kuondoa maumivu yake pia ni msaada mkubwa.
Mkuu maelezo kidogo?Zari hajazaa na Diamond acha uzushi bana!
Huyu mwanamke kwao Uganda hakuna kiki ???kila siku Bongo aarrrggg mwambieni basha wake Mzamiru ameokota aje kufumuliwa Marinda....
Wolpa pesa ya kudanga ataigawaje??
UmenenaMatatizo huwaleta watu pamoja.
Hapo watu wanakula bingo tu kama kwenye BIKKKO tu. Usione watu wanapush Ma-Lamborgini ukadhani mchezo.mbona kwa merehemu sajuki alitoaga millioni 12 tena kwa style ya mzee mengi ya kuita press enzi hizo anapush white bimmer x6
gari yenyewe ilikuwaga ya magumashi hadi leo inaozea yard ya TRA ... iliingia kimagendo inadaiwa kodi kama 70 millioni hiviHapo watu wanakula bingo tu kama kwenye BIKKKO tu. Usione watu wanapush Ma-Lamborgini ukadhani mchezo.